Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mocca
Umeona chai? Mimi nimejiuliza eti dakika kumi mtu yupo chini, wakati huo ni nini kilikuwa kinaendelea?Nilimpa mshindo ( ngumi) wa nguvu mtu bidu chali kisha akaanza kutikisa kichwa kama bata kapigwa na manati.
Niliogopa sana nilidhani nimeua. Jamaa akatulia chini for like 10 minutes then baada ya hapo akanyanyuka akakaa. Nikazuga kama nataka kuendelea kumpiga fasta akaanza kutoa wosia ( Kaka ugomvi sio mzuri kaka and blah blah ) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Umeona chai? Mimi nimejiuliza eti dakika kumi mtu yupo chini, wakati huo ni nini kilikuwa kinaendelea?
Akupe ya mokasini eeUnaweza kunisaidia kapicha?
EeeAkupe ya mokasini ee
Namm naisubiri...aseee
Ahsante kwa kuuliza, amekujibu?
Kuna mmoja nimesimama kwenye zebra akajaa akanivaa, nikashuka anataka kukimbia kachelewa nikamdaka kumcheki mtoto ana kama 16 hivi kanyoa kiduku kavaa mlegezo mchafu balaa! Nikamuonea huruma maanake nina uhakika hata leseni hana na gari haikuharibika zaidi ya scratch kwenye bumper nikamwachia aondokeAta mimi boda siwapendi kitu kimoja tuu... Kwenye zebra cross hawasimamishi pikipiki[emoji41][emoji41] wanatupa tabu kweli ata sisi watembea kwa miguu