Nimempiga boadaboda mpaka nimemuonea huruma

Nimempiga boadaboda mpaka nimemuonea huruma

Nilimpa mshindo ( ngumi) wa nguvu mtu bidu chali kisha akaanza kutikisa kichwa kama bata kapigwa na manati.

Niliogopa sana nilidhani nimeua. Jamaa akatulia chini for like 10 minutes then baada ya hapo akanyanyuka akakaa. Nikazuga kama nataka kuendelea kumpiga fasta akaanza kutoa wosia ( Kaka ugomvi sio mzuri kaka and blah blah ) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeona chai? Mimi nimejiuliza eti dakika kumi mtu yupo chini, wakati huo ni nini kilikuwa kinaendelea?
 
usirudie kupiga madereva wa boda kichwani, wengi hufa, yaani anapaparika kama kuku aliyekatwa kichwa, nahis zile helmet zinawatia uzombi kidogo...nimeshuhudia si chini ya mara 4-5 ngumi moja chali, akiinuka chali tena akiinuka chali alafu kimyaa.
pia wengi hawana muda wa kufanya mazoezi wanachojua wao ni kuweka kende zao juu ya piki piki na kutimua mbio bila kujali usalama wao na wa wengine
 
Ata mimi boda siwapendi kitu kimoja tuu... Kwenye zebra cross hawasimamishi pikipiki[emoji41][emoji41] wanatupa tabu kweli ata sisi watembea kwa miguu
Kuna mmoja nimesimama kwenye zebra akajaa akanivaa, nikashuka anataka kukimbia kachelewa nikamdaka kumcheki mtoto ana kama 16 hivi kanyoa kiduku kavaa mlegezo mchafu balaa! Nikamuonea huruma maanake nina uhakika hata leseni hana na gari haikuharibika zaidi ya scratch kwenye bumper nikamwachia aondoke
 
Back
Top Bottom