Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hela ya mke ni ya familia kama ilivyo ya mume tu ila kuna ujinga wanawake wanaulazimisha waonekane wao hela zao ni dhambi kushea kwenye majukumu ya kifamilia. Labda niwe Mwigulu Nchemba siku 1 ndio sitataka mke achangie chochote ila nikiwa raia wa kawaida hela za wife lazma atazitoa tu siku nikikwamaNi kweli kabisa, eti hela za mwanamke ni za mwanamke? Usawa huu mtakufa kwa stress sana