Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataokujibu kwa kukushambulia watakua hawako kwa ndoa au hawaelewi akili ya mwanamke kwenye ushiriki wake kwa familia kiuchumi,wazeee Hawa viumbe Hawa? 😬Vile tumezaliwa kutoa tu,Kuna jamaa humu ashasimulia kafungiwa mshahara kazini miezi minne mwanamke ana biashara aliyofunguliwa na huyo huyo mmewe lkn hatoi kitu kwenye bajeti ya kila.siku jamaa kaamua kumpekua loooh! Anakutana na bunda za pesa tu ndani then kumbe ana ex wake ndo ana mgharamia kwa pesa ya biashara ya familia. Alimpiga chini mazima.Wake zetu mnaficha hela ili iweje? Kuweni mstari wa mbele kushughulika na changamoto za kifamilia
Endeleeni kuoa machaguo ya macho yenu..hivi mwanaume kabisa kamili unafeli wapi kuchagua ke bomba ikakusaidia majukumu?Kwa ufupi sana.
Kuna wakati wife alipata changamoto ya kiafya. Matibabu yalikuwa gharama kidogo kutokana na safari za hapa na pale. Kuna wakati akiba ikakata ikabidi nijikopeshe kupitia vyanzo vingine.
Siku moja nikachukua kadi na kuchungulia akaunti yake nikakuta ina milioni saba imetulia. Ikaniuma sana. Baada ya miezi mitatu nikachngulia tena nikakuta ile fedha bado imetulia.
Juzi kati tukapata shamba kwa milioni tatu. Nikampa idea ila nikampanga shamba linauzwa milioni 5. Akaikubali akanipa milioni 2 nimalize kazi.
Nikamaliza biashara na mkataba ukasoma 5m mwenye shamba akachukua 3m. Nikapiga 2m bila kelele.
My Take
Wake zetu mnaficha hela ili iweje? Kuweni mstari wa mbele kushughulika na changamoto za kifamilia
Ha haaaa tukinunua luku mtajua tuna hela kumbe shida inaanza.Shenzee kabisa Joannah Ahahahahahahaaaa..!! Kwani huwa mnaogopa kuibiwa? Wala si kuibiwa, nyie hata LUKU ikiisha na upo nyumbani, kutoa hela yako kununu LUKU ni shida. Utampigia simu mtu yupo safarini hukoo anunue LUKU
Na bahati njema mke ameitunza kwaajili ya maendeleo.Mkuu unamuibia mkeo halafu unajiona mwanaume?
Kwa ufupi sana.
Kuna wakati wife alipata changamoto ya kiafya. Matibabu yalikuwa gharama kidogo kutokana na safari za hapa na pale. Kuna wakati akiba ikakata ikabidi nijikopeshe kupitia vyanzo vingine.
Siku moja nikachukua kadi na kuchungulia akaunti yake nikakuta ina milioni saba imetulia. Ikaniuma sana. Baada ya miezi mitatu nikachngulia tena nikakuta ile fedha bado imetulia.
Juzi kati tukapata shamba kwa milioni tatu. Nikampa idea ila nikampanga shamba linauzwa milioni 5. Akaikubali akanipa milioni 2 nimalize kazi.
Nikamaliza biashara na mkataba ukasoma 5m mwenye shamba akachukua 3m. Nikapiga 2m bila kelele.
My Take
Wake zetu mnaficha hela ili iweje? Kuweni mstari wa mbele kushughulika na changamoto za kifamilia
Na ukiona mwanaume kapoteza Dira .....mmezaa watoto na hupendi kuhangaika ...ndo unampiga za uso kwa ajili ya familia nzima ikiwamo yeye.Kuna baadhi ya wanaume akigundua una pesa kidogo hajishughulishi na kitu chochote humo ndani. Ndiyo maana huwa tunapiga kimya unakuwa unasaidia pale inapobidi
After all hayo ni matTutukane... Ila uzuri nimemfira mama yako dada yako... Na wew umekimbia mji kwasabab ulifirwa na mjomba ako ktk lile jumba bovu hadi ukarekodiwa... Rudi mtaani tumemiss huo mkundu...
Asante sana. Huyo mpuuzi ndiye aliyeanzisha matusi ya kijinga.Mr Director na Buyuni Kwetu mnazingua.
Kama mnataka kutukanana nendeni chemba mkatukanane vizuri.
Toeni kiwingu hapa
FlashiAsante sana. Huyo mpuuzi ndiye aliyeanzisha matusi ya kijinga.
Kwamba wakati unajikopesha ili kugaramia matibabu yake alikuwa na 7m? Ungemuacha tu afeDah!...Mali zao ni zao, ila zako za familia....hiyo sio poa ndani ya ndoa..
.. Anyway..Simba hafi kama Kuku, bado tupo.
Ni kweli kabisa, eti hela za mwanamke ni za mwanamke? Usawa huu mtakufa kwa stress sanaWanaume wengi ni wajinga. Mtoa mada yupo sahihi saaana. Kwa ujinga huu wanaume ndiyo tunaongoza kujinyonga, kuua, kufa kwa haraka, stress, depression na matatizo ya moyo.
Mtoa mada siku ukitaka kuipiga nyingine sema tujadili mbinu.
Kuna binamu yangu mkewe sijui pesa zake anapeleka wapi, imagine mtoto anataka hadi kurudishwa shule mume mambo yamekaa vibaya. Yeye katulia tu na hela zake. Siku moja mume kamtolea uvivu ndio akatoa hiyo hela ya ada. Yaani utadhani mtoto si wa kwake lohNyie mnao mtetea huyo mwanamke ni wapuuzi. Na mtakuja kufa kwa ugonjwa unaohitaji million 1 tu upone ila mkeo bank ana million 10 na hatak kutoa hata buku... Wanawake ni watu wapuuzi sana, usione anakulilia shida ukadhani hana pesa, mwanaume upo bize unatafuta ada za watoto pesa ya kula familia yako, mwsho wa siku watoto wanarudishwa nyumban ada haitosh mwanaume unahangaika unaenda kukopa sehem ila mkeo kanyamaza kimya ndani kaficha mamilioni ya pesa...
3m - 2m = 1mKwa ufupi sana.
Kuna wakati wife alipata changamoto ya kiafya. Matibabu yalikuwa gharama kidogo kutokana na safari za hapa na pale. Kuna wakati akiba ikakata ikabidi nijikopeshe kupitia vyanzo vingine.