Hela ya mke ni ya familia kama ilivyo ya mume tu ila kuna ujinga wanawake wanaulazimisha waonekane wao hela zao ni dhambi kushea kwenye majukumu ya kifamilia. Labda niwe Mwigulu Nchemba siku 1 ndio sitataka mke achangie chochote ila nikiwa raia wa kawaida hela za wife lazma atazitoa tu siku nikikwamaNi kweli kabisa, eti hela za mwanamke ni za mwanamke? Usawa huu mtakufa kwa stress sana
Iko siku yaja utakuja kufanywa mjinga na ukigundua hilo utakuja kuandika uzi kwa uchungu sana. Endelea kuishi katika unayoyaamini juu ya mwanamke sasa.Who so will ever touch a woman or abuse a woman no matter what is a beast and not human, forget whether some behave unholy,but the truth is that women are angels
Si wanadanganyana hela ya mke sio yako 😂😂😂 ujikute unateseka tu na mke unaye, sasa anakuwa wa kazi gani mjengoni.Endeleeni kuoa machaguo ya macho yenu..hivi mwanaume kabisa kamili unafeli wapi kuchagua ke bomba ikakusaidia majukumu?
Au ndo hizi ndoa za kukurupuka...yaan mi ngekua mwanaume nisingefeli kupata mke.
Well, ni mtazamo wako. Ni haki yako kikatiba.Who so will ever touch a woman or abuse a woman no matter what is a beast and not human, forget whether some behave unholy,but the truth is that women are angels
Mkuu Extrovert zi dilute nondo zako kwa huyu jamaa, zipo concentrated sana, not good for his health.Iko siku yaja utakuja kufanywa mjinga na ukigundua hilo utakuja kuandika uzi kwa uchungu sana. Endelea kuishi katika unayoyaamini juu ya mwanamke sasa.
Sasa atafaidi vipi hivyo vitu wakati namuacha akiwa kashazeeka? Hana maajabu tenaKuna wanaume mmeoa mafurushi hakyamungu. Mke wa namna hiyo ni bora atulie home atulelee watoto badala ya kumuweka msaidizi. Ukitoka asubuhi na kurudi usiku lazima uwe sehemu ya maendeleo ya familia, hutaki kaa home lea watoto.
Utakuta sasa anawaza "mume wangu akifariki ataniachia nyumba kadhaa, mashamba, viwanja na zile biashara", coz wao kwa mindset za kitoto wameshapiga mahesabu kuwa wanaume ndio wanatangulia kufa.
Bado amateur huyo kwenye game ya relations, ukiona mtu anakuwa down on his knees infront of a woman like that he must be inexperienced. Hajui saikolojia yao hao, hata sie gurus huwa tunaishi kwa machaleMkuu Extrovert zi dilute nondo zako kwa huyu jamaa, zipo concentrated sana, not good for his health.
Huu uzi umenichekesha sanaKwa ufupi sana.
Kuna wakati wife alipata changamoto ya kiafya. Matibabu yalikuwa gharama kidogo kutokana na safari za hapa na pale. Kuna wakati akiba ikakata ikabidi nijikopeshe kupitia vyanzo vingine.
Siku moja nikachukua kadi na kuchungulia akaunti yake nikakuta ina milioni saba imetulia. Ikaniuma sana. Baada ya miezi mitatu nikachngulia tena nikakuta ile fedha bado imetulia.
Juzi kati tukapata shamba kwa milioni tatu. Nikampa idea ila nikampanga shamba linauzwa milioni 5. Akaikubali akanipa milioni 2 nimalize kazi.
Nikamaliza biashara na mkataba ukasoma 5m mwenye shamba akachukua 3m. Nikapiga 2m bila kelele.
My Take
Wake zetu mnaficha hela ili iweje? Kuweni mstari wa mbele kushughulika na changamoto za kifamilia
Mkuu, imagine unamuoa my wako mmepishana 10yrs, wewe ukifika 75 unakata moto yeye bado 65..unadhani kwa umri huo hafaidi maisha?Sasa atafaidi vipi hivyo vitu wakati namuacha akiwa kashazeeka? Hana maajabu tena
Skia wengi humu wana taka kuwa impress wanawake wa JF lakini kiuhalisi hao wanaume hawaishi hivyo ktk maisha yao nje ya JF. Wanajifanya magentle meeeni kumbe wengi wana matatizo kama sisi story zao za mirejesho ziko nyingi humuKuna reply za wanaume wenzangu wanajiona ma gentlemen sana kwa kumtetea huyo mwanamke na kumtukana mwanaume mwenzetu..
Hivi Jambazi kama huyo unamuachaje salama?
nikuuguze wee mpaka kukopa Juu yangu kumbe una hela umetulia nazo tu? non sense
mzee malizia na hizo 2m ili atafute nyingine anavyojua
Nakuunga mkono mzee babaMimi sio tu mke ata Kama angekua mwanangu ambaye nawajibika kwa asilimia zote kumuhudumia
Awe anaumwa namuangakia adi nakopa kumbe yy kwenye kibubu chake chini ya kitanda ana hela ambayo ingetosha kununua ata dawa na aniambii! aisee..
Hicho kibubu navunja natoa ela naenda kununua jogoo mkubwa namkaanga fresh na hapati ata kiwiko mpuuzi mmoja huyo
Familia n jambo la umoja na ushirikiano, lazima tuungnishe nguvu kwa hiari na kujitoa mambo yaende, sio mambo ya kusikilizia, kujivuta...