Nimempiga mwizi mapanga mawili ya kichwa, akifa Mungu nisamehe

Nimempiga mwizi mapanga mawili ya kichwa, akifa Mungu nisamehe

Maneno ya IGP sirro yanafanya kazi sasa tuwe na mapanga ndani
Halafu HAKIKISHA lina kutu na damu iliyokaukia

JPEG_20210727_052046_2102539322263777096.jpg
 
Ushauri.

Kimbia polisi katoe taarifa ukiwa na huyo rafiki yako , maana self defense sio kosa mkuu . Tofauti na hapo yule mwizi mwingine aliyekimbia anaweza akaenda kutoa taarifa umemuua mwenzake kisa mnagombania mwanamke huko mbele ukakosa utetezi
Kwa ushahidi gani atakaoutumia ili huyo mwizi athibitishe ni Kitoabu ndiye amemuua huyo jamaa? Na motive iwe ni mwanamke? Haya sawa, mtaje huyo mwanamke ambaye bwana mwizi na kitoabu wanamjua.

Mwili wa binadamu ni complicated sana. Waweza kuta jamaa akapona
 
Back
Top Bottom