Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Asante, ngoja tumpigieMzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika.
Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe ni mshindi. Niwaombe watanzania wenzangu tumpigie kura ndugu yetu may be akipata tuzo ataachana na mizimu ya Mbutu na kujongea kwenye altare Takatifu.
Vote for Yeriko Nyerere , vote for Tanzania
Sheikh Mohd Said yupo ktk ushindani? Nimpigie kura yanguMzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika.
Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe ni mshindi. Niwaombe watanzania wenzangu tumpigie kura ndugu yetu may be akipata tuzo ataachana na mizimu ya Mbutu na kujongea kwenye altare Takatifu.
Vote for Yeriko Nyerere , vote for Tanzania
Yericko ni google translatorHamna kitu hapo copy & paste tu.
Haki ya Mungu Tanzania ni nchi ya vituko! Tena vituko kweli kweli! Yeriko mwandishi bora wa vitabu Afrika? Mbona ni kama utani ubaya sana mnafanya?Mzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika.
Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe ni mshindi. Niwaombe watanzania wenzangu tumpigie kura ndugu yetu may be akipata tuzo ataachana na mizimu ya Mbutu na kujongea kwenye altare Takatifu.
Vote for Yeriko Nyerere , vote for Tanzania
Kwa mara ya kwanza naunga mkono maoni yako leo japo siyo kwa asilimia 100. Kwa nini: Vitabu vya Yeriko siyo copy and paste ila ni copy and disturbunce. Ni muunganiko wa maneno yasiyo na malengo maalum wala mantiki. Ni mental case. And I mean it. Kuna yule mzee marehemu akiitwa sijui Shika. Yule alikuwa ni mental case na Yeriko ni mental case ya aina yake.Hamna kitu hapo copy & paste tu.
Neno lako tu hilo, limenifanya nami nitamani kumpigia kura! Tatizo sifahamu naipigaje na wapi!Asante, ngoja tumpigie
P
ni nani huyu, na ni wawapi nami nimpigie kakura?Mzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika.
Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe ni mshindi. Niwaombe watanzania wenzangu tumpigie kura ndugu yetu may be akipata tuzo ataachana na mizimu ya Mbutu na kujongea kwenye altare Takatifu.
Vote for Yeriko Nyerere , vote for Tanzania
Ebooo ni mental caser tenaKwa mara ya kwanza naunga mkono maoni yako leo japo siyo kwa asilimia 100. Kwa nini: Vitabu vya Yeriko siyo copy and paste ila ni copy and disturbunce. Ni muunganiko wa maneno yasiyo na malengo maalum wala mantiki. Ni mental case. And I mean it. Kuna yule mzee marehemu akiitwa sijui Shika. Yule alikuwa ni mental case na Yeriko ni mental case ya aina yake.
Alitamka wazi akishinda ataishukuru mizimu, hapo ndipo aliharibu nikasema basi mizimu ikampigie na nilimwambia wazi kwenye page yake.Mzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika.
Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe ni mshindi. Niwaombe watanzania wenzangu tumpigie kura ndugu yetu may be akipata tuzo ataachana na mizimu ya Mbutu na kujongea kwenye altare Takatifu.
Vote for Yeriko Nyerere , vote for Tanzania
Mlikuwa mnampiga mawe sana, akichelewa kuandika dhihaka zilikuwa nyingi, bora aliachaMimi nadhani kwa uandishi mzuri kwa sasa hapa Tanzania Habibu B Anga anatisha sana. Na sijui kwanini alitukimbia JF
Profesa Lumomba wa Kenya unamuweka kundi gani? Mimi huwa simukewagi japo kuna wanaomfagilia.Kwa mara ya kwanza naunga mkono maoni yako leo japo siyo kwa asilimia 100. Kwa nini: Vitabu vya Yeriko siyo copy and paste ila ni copy and disturbunce. Ni muunganiko wa maneno yasiyo na malengo maalum wala mantiki. Ni mental case. And I mean it. Kuna yule mzee marehemu akiitwa sijui Shika. Yule alikuwa ni mental case na Yeriko ni mental case ya aina yake.
Watu mna utani mbaya sana.Kwa mara ya kwanza naunga mkono maoni yako leo japo siyo kwa asilimia 100. Kwa nini: Vitabu vya Yeriko siyo copy and paste ila ni copy and disturbunce. Ni muunganiko wa maneno yasiyo na malengo maalum wala mantiki. Ni mental case. And I mean it. Kuna yule mzee marehemu akiitwa sijui Shika. Yule alikuwa ni mental case na Yeriko ni mental case ya aina yake.