Nimempikia shemeji yenu njegere ngumu haziivi, msaada tafadhali

Nimempikia shemeji yenu njegere ngumu haziivi, msaada tafadhali

Acha zako basi😃.
Wewe umeshawahi kupika hata uji kweli?
Uji cku hiz hatupiki tunachemsha
download.jpeg
 
Ipo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.

Msaada tafadhali jinsi ya kuzitambua njegere ambazo haziivi ili nisifanye kosa la kuzinunua siku nyingine.

Mwachiluwi nipe maujuzi
Mi navyojua choroko ndio zina tabia ya kutokuiva sio njegere.
 
Back
Top Bottom