Nimempikia shemeji yenu njegere ngumu haziivi, msaada tafadhali

Nimempikia shemeji yenu njegere ngumu haziivi, msaada tafadhali

Basi mie siku zote najua njegere origin yake kuwa laini tu. Tena huwa na tahadhari nazo zisiwive sn. Mana zikiwiva sana pia zinakuwa hazina utamu sn.
Km naweka kwenye wali huwa naziweka mwishoni kabla kuweka wali kwenye oven tena bila kuzichemsha
Mama yangu huwa hachemshi njegere. Anaziweka kwenye freezer, hivyo hivyo zimeganda anaziunga na zinaiva vizuri kwa muda mfupi.
Sasa mimi baada ya kuwa na bahati mbaya ya kukutana na njegere ngumu nimeamua niwe nachemsha kwanza.
 
Back
Top Bottom