kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Aaah wapii utamuona anatoa machozi kama mamba huku anakula....Atasema namroga
Aaah wapii utamuona anatoa machozi kama mamba huku anakula....Atasema namroga
MTU MWENYE SHABAHA YA AJABU YA KULENGA SHABAHA KWA KUTUMIA MSHALE.MADHALI UPEO WA MACHO YAKE UNAMWONA INZI NA MSHALE UNAWEZA KUFIKA BASI ATAMLENGA.mkuu jina lako lina maana gani..?
Huku kwetu uswazi tunapikia nje kwenye corridor kuna wapangaji wengine wanaendelea na shughuli zao, itakuwa tafrani😃Aaah wapii utamuona anatoa machozi kama mamba huku anakula....
Aha mke wake anavumilia🤣🤣🤣🤣🤣 Boaz Hana mfanowe. Boaz yule mke wake kalikua ka toto Cha mujibu, kanapata tabu sana na uhaya wake. Ila umenichekesha sana
Hivyo kwenye uzi wa njegere umekuja kulenga nini sasa...?🤣MTU MWENYE SHABAHA YA AJABU YA KULENGA SHABAHA KWA KUTUMIA MSHALE.MADHALI UPEO WA MACHO YAKE UNAMWONA INZI NA MSHALE UNAWEZA KUFIKA BASI ATAMLENGA.
Mwachiluwi atakua ashamaliza.Ipo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.
Msaada tafadhali jinsi ya kuzitambua njegere ambazo haziivi ili nisifanye kosa la kuzinunua siku nyingine.
Mwachiluwi nipe maujuzi
Kidude chochote kinacholengeka,kumbuka njegere zitafuta jInsia lengeka.Hivyo kwenye uzi wa njegere umekuja kulenga nini sasa...?🤣
Ila na wewe unaweza ongezea kituMwachiluwi atakua ashamaliza.
Naamini washamba ndiyo hutumia mbinu za medani.Siwez na sijawai fikiria kutumia sukari kwa hilo nakubali kuitwa mshamba
Sio kweliNaamini washamba ndiyo hutumia mbinu za medani.
Namaanisha ubavu wako ni mwenyeji wa maeneo hayo bila shaka. 😁😁Sijaelewa lakini acha tu nicheke😃
mtu kama huyo akifoka unamtazama tu aongee hadi amalize mwenyewe.Aha mke wake anavumilia
Sasa kipindi nipo omes pale alikuwa anakuja anatoa maelekezo mpaka unachoka nikasem huyu dawa yake kumpuuza kuna siku kapiga simu anafoka nikaweka simu pembeni sijui alikata saa ngapi
Chakuongezea hapo azisage na Brenda zilainike sina lingine 😂😂Ila na wewe unaweza ongezea kitu
Mh! kweli kazi ni kipimo cha utu..😂Kidude chochote kinacholengeka,kumbuka njegere zitafuta jInsia lengeka.
Hapana😃.Namaanisha ubavu wako ni mwenyeji wa maeneo hayo bila shaka. 😁😁
Na kazi ni kazi inategemea unaitendajeMh! kweli kazi ni kipimo cha utu..😂
Jamani, itakuwa mtoriChakuongezea hapo azisage na Brenda zilainike sina lingine 😂😂
Ni kumpuuza tu kila siku hakos la kuongeamtu kama huyo akifoka unamtazama tu aongee hadi amalize mwenyewe.
Sasa kichekesho ukikaa kimya anakwambia una kiburi, ukijaribu kuongea ujieleze anakunyamazisha anasema unam-disrespect
Ziwe ujiChakuongezea hapo azisage na Brenda zilainike sina lingine 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ulimkomesha sana. Lakini nikwambie kitu hakujali mwenzakoAha mke wake anavumilia
Sasa kipindi nipo omes pale alikuwa anakuja anatoa maelekezo mpaka unachoka nikasem huyu dawa yake kumpuuza kuna siku kapiga simu anafoka nikaweka simu pembeni sijui alikata saa ngapi