Nimempikia shemeji yenu njegere ngumu haziivi, msaada tafadhali

Mkuu saazingine ulishakula sana bila wewe kujua.

Maana bagia za dengu na bagia za njegere kama zimeandaliwa na mtu mwingine ni vigumu sana kuzitofautisha.

Ila wataalamu wanasema bagia za njegere ni bora kuliko za dengu.
Sijawahi bahatika kukutana nazo
 
Njegere kuto kuiva kunatokana na njegere kukaa mda mrefu nunua njegere zile zenye ukijani kabisa ulio ivia hizi za kijan kama mpauko ni shida haziivag pia nasikiaga ukiweka mafuta wakat wa kuchemsha zinakuwa poa

NB njegere nunua zinazomenywa sasaivi sio zilizomenywa wanachanganyaga na za zamani
Ijumaa tupikie pilau na njerege na kuku
 
Ipo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.

Msaada tafadhali jinsi ya kuzitambua njegere ambazo haziivi ili nisifanye kosa la kuzinunua siku nyingine.

Mwachiluwi nipe maujuzi
Mpikie nyama! Kwani lazima njegere?
 
Afu tusipandishane Hasira ujue,wengine Hatuna wa kutupikia we unakuja kutulingishia huku.
 
Ipo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.

Msaada tafadhali jinsi ya kuzitambua njegere ambazo haziivi ili nisifanye kosa la kuzinunua siku nyingine.

Mwachiluwi nipe maujuzi
Hata mimi nimewahi pika njegere magetoni masaa mawili hazijaiva na nilikuwa natumia gesi 🫢
 
Ipo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.

Msaada tafadhali jinsi ya kuzitambua njegere ambazo haziivi ili nisifanye kosa la kuzinunua siku nyingine.

Mwachiluwi nipe maujuzi
Ungeziweka tangawizi au magadi Kwa mbaali!Umeziunga na Wewe hivyohivyo si ungeongeza muda hadi ziive?
 
Back
Top Bottom