Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,385
- 5,817
- Thread starter
-
- #161
Sijawahi bahatika kukutana nazoMkuu saazingine ulishakula sana bila wewe kujua.
Maana bagia za dengu na bagia za njegere kama zimeandaliwa na mtu mwingine ni vigumu sana kuzitofautisha.
Ila wataalamu wanasema bagia za njegere ni bora kuliko za dengu.
Jipige pige ununue. Linasaidia snSina pressure cooker😪
Hazina kazi hataZa kunde nzuri sana ila sijui kuzipika
Ijumaa tupikie pilau na njerege na kukuNjegere kuto kuiva kunatokana na njegere kukaa mda mrefu nunua njegere zile zenye ukijani kabisa ulio ivia hizi za kijan kama mpauko ni shida haziivag pia nasikiaga ukiweka mafuta wakat wa kuchemsha zinakuwa poa
NB njegere nunua zinazomenywa sasaivi sio zilizomenywa wanachanganyaga na za zamani
Nitafanya hivyoJipige pige ununue. Linasaidia sn
Mpikie nyama! Kwani lazima njegere?Ipo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.
Msaada tafadhali jinsi ya kuzitambua njegere ambazo haziivi ili nisifanye kosa la kuzinunua siku nyingine.
Mwachiluwi nipe maujuzi
Nyama kila siku?Mpikie nyama! Kwani lazima njegere?
Choroko!Nyama kila siku?
Hatupendi choroko.Choroko!
Napika leoIjumaa tupikie pilau na njerege na kuku
Sawa wacha nikae na kidaftari changuNapika leo
😃😃😃 akimaliza hiyo shughuli njaa itamuuma adai chakula nimpe hizo hizo ngumuUnakaje mahali ww
Akifika mlishe njegere za mwilini mpala asahau hizo ngumu
Hata mimi nimewahi pika njegere magetoni masaa mawili hazijaiva na nilikuwa natumia gesi 🫢Ipo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.
Msaada tafadhali jinsi ya kuzitambua njegere ambazo haziivi ili nisifanye kosa la kuzinunua siku nyingine.
Mwachiluwi nipe maujuzi
Ungeziweka tangawizi au magadi Kwa mbaali!Umeziunga na Wewe hivyohivyo si ungeongeza muda hadi ziive?Ipo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.
Msaada tafadhali jinsi ya kuzitambua njegere ambazo haziivi ili nisifanye kosa la kuzinunua siku nyingine.
Mwachiluwi nipe maujuzi
Nahisi hata ningeongeza muda zisingeiva. Tangu saa 6 na nusu hadi saa nane kamili ni muda mrefu sanaUngeziweka tangawizi au magadi Kwa mbaali!Umeziunga na Wewe hivyohivyo si ungeongeza muda hadi ziive?
Kale hoteliniAfu tusipandishane Hasira ujue,wengine Hatuna wa kutupikia we unakuja kutulingishia huku.
Hujui tuu kupika na Wewe Hata kama za wiki zinaiva tuu!Maana nimezikuta tu sehemu nikanunua. Inawezekana zimemenywa juzi