Nimempima UKIMWI nikakuta anao

Sasa mkuu unasema kuna upotoshaji weww ulikuepo hiyo siku??
Demu wa jamaa na wako ni tofauti, wewe sio huyu mtoa mada, nadhan hata hamfahamiani iweje umshambulie namna hiyo
 
Sasa mkuu unasema kuna upotoshaji weww ulikuepo hiyo siku??
Demu wa jamaa na wako ni tofauti, wewe sio huyu mtoa mada, nadhan hata hamfahamiani iweje umshambulie namna hiyo

Yaani Wanataka watunge story yao
 
Kaacha kula mzigo bure
 
Kabla ya kujudge kwamba ni HIV positive..mleta maada wewe una utalaam wowote juu ya upimaji wa VVU?? hayo maswala yana mambo mengi ndan yake,sometimes unawezapata false positive. Cha kufanya usimpatie hayo majibu yako ya uchochoroni,mshauri aende kwenye vituo vya kutolea huduma za afya akachek afya yake(jaribu kutumia lugha ambayo haitaleta sekeseke)
 
Hv vipimo nlinunua box zima kwa nesi, akanielekeza jinsi ya kupima, mbali na apo sina uzoefu mwingine
Sasa huoni kama unahatarisha maisha yako na ya wengine kwa kufanya kazi ambayo huna utaalamu nayo......
Itakuwaje kama kipimo kimekosea majibu na binti wa watu akajimaliza kwa jazba ya kipimo chako.....??

Kupima mtu na kulala naye sio salama kwa afya yako....kumbuka watu wanatofautiana kwenye kuonekana virus kwenye damu ndio maana wataalamu wanakadiria kwa muda wa miezi mitatu ili vipimo viweze kuviona virusi.......sasa kama unafanya mapenzi na mtu ambaye katoka kupata mambukizi mwezi mmoja na kipimo chako kinaonyesha hana virus hali ya kuwa anavyo huoni kuwa una hatarisha afya yako.......???
 
Kipimo hakihakaa vizuri hicho kama ni hivyo basi antibody ndio zimeanza kutengenezwa vs antigen, au atakuwa yupo kwenye window period coz mstali wa type 1 upo very pale/dull, labda pia kipimo kimeexpire, au reagent iliyotumika hicho kipimo bado kinautata kwangu mwambie akapime tena zahati/ hosp yenye huduma ya CTC.
 
Kama unaogopa kumwambia ulimpima ya nini sasa??? Unachkua demu bar wataka ukamle halafu unaanza kumpima sasa ulimchukua ya nini bar ungeenda church basi ukatafute ambao unahis hawana ila sio had
 
Sidhani kama nikimwambia hvo ataenda zahanati kupima, nadhani atapuuzia maana anajiamini na tulipima ili anihakikishie mimi kuwa hana ili tupige mechi kavu
Kwa hyo mzigo ulipiga au hukupiga?
Kama CD imeluka ivi[emoji849]
 
Sidhani kama nikimwambia hvo ataenda zahanati kupima, nadhani atapuuzia maana anajiamini na tulipima ili anihakikishie mimi kuwa hana ili tupige mechi kavu
Kuna vitu havinaga compromise unapochukua barmaid, malaya usipoteze mda wako kumpima wewe tumia kondomu
 
una akili mingi sana..good advice
 
We alokwambia ukishapima ukakuta hapo positive ni nani wacha kuingilia majukum ya watu utauwa watu mkuu sd bioline pekee haiconfirm uwepo wa ukimwi
 
Pia yawezekana anajijua na yupo kwenye ARV lakini ameona namna nzuri ya kukwambia ni ujionee since umesema anakupenda kweli na alishawah kukunyima game before
 
Na wewe kwa Bar Maids unaongoza!
 
Bado kuna maswali kama ulipima ukamwambia yuko sawa wakati hayuko sawa na yeye alikuwa hataki ndomu so ulipiga peku??

Na kama hukula mzigo ulimwambia kwa nini umegairi wakati umempima na ukasema yuko salama??

Na kama ulitumia ndom kwa nini utumie wakati umemwambia yuko salama.

Na kama umempima, umemvua, umelala naye mpaka asbh hlf usimchate wakati umemtoa bar kwa kazi maalum ulimpa point gani ya kutokumla.

MADA YAKO KAMA NAONA DALILI ZA CHAI HIVI MKUU.
Kiongozii, Alipima akijiamini na alitakaa mm nimuamini, hakuwa anataka kujua majibu yake, yy anasema alipima wiki mbili zilizopita so alitaka mm niamini na mm nlivompimaa sikuonesha mshangao wwte nikmwambia uko sawaa ndomana hajahojii
 
Kaka ata sikulazimishii Huniaminii lakini ishu ndo ilikuwa hvo...Then sio mara moja kwake kuja apo kwangu na sikumchukuaa kwa lengo la kumgonga na kumuacha tu wala sikumwambia kuwa nampa pesa na hyo siku ya tukio tulikuwa tumelewa nafikir ndomana alikuwa haulizii chochotee...ata asubuh alivoamkaa hakuniuliza kuhusu ishu ya kusex zaid ya kwenda kuoga na kuondoka zake
 
Wapendwa Kitu kingine nimekuja kugundua Kumbe ile liquid ime expire toka mwez wa nne, japo nimempigia daktar kujua kama kuexpire kunaleza kukaleta false result amenambiaa inaezekana majibu ni ya kweli, Akashauri nirudie kumpima next time
 
Genius...
 
Kama unaogopa kumwambia ulimpima ya nini sasa??? Unachkua demu bar wataka ukamle halafu unaanza kumpima sasa ulimchukua ya nini bar ungeenda church basi ukatafute ambao unahis hawana ila sio had

Wapendwa Kitu kingine nimekuja kugundua Kumbe ile liquid ime expire toka mwez wa nne, japo nimempigia daktar kujua kama kuexpire kunaleza kukaleta false result amenambiaa inaezekana majibu ni ya kweli, Akashauri nirudie kumpima next time
Kama ime-expire tokea mwezi wa nne hayo majibu ya dada wa watu ni ya uongo
 
Sidhani kama nikimwambia hvo ataenda zahanati kupima, nadhani atapuuzia maana anajiamini na tulipima ili anihakikishie mimi kuwa hana ili tupige mechi kavu
Baada ya kupima ikawaje, maana hakutaka condom?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…