Nimempinga Godbless Lema ila sasa Natubu

Nimempinga Godbless Lema ila sasa Natubu

Hii
Embu tuambia tunatokaje kwenye mkwamo wa kuita watanzania ni laana ,washamba ,na ni maskini?
Hili swali ukiwahojji kamati kuu ya Ccm itapendeza,, inakuwaje wanarasimisha umaskini eti ndiyo ajira,,,hapana na wewe toka huko uliko ushakula vya kutosha acha ulafi ,,,bodaboda siyo kazi.
 
Hii

Hili swali ukiwahojji kamati kuu ya Ccm itapendeza,, inakuwaje wanarasimisha umaskini eti ndiyo ajira,,,hapana na wewe toka huko uliko ushakula vya kutosha acha ulafi ,,,bodaboda siyo kazi.
Mwambieni lema awasilishe document yoyote inayothibitisha anafanya biashara haki ya mungu nitaacha kupost chochote humu kuanzia leo
 
Kasha jifunza nchi zingine wanaishije. Exposure inasaidia kiakili ukiwa na akili timamu lakini.
Walioenda canada na elimu zao wanafanya kazi ,yeye hata ya kuosha vyombo kakoso shauri ya kutokujua lugha ndio maana anapigea jua kwenye siasa
 
Tuache uvyama Taifa linaangamia for sure!! Tuache mijadala miepesi jamani
Tupe njia alizotumia lema hadi akawa tajiri,Tuanzie hapo kwanza,maana hadi sasa nashindwa pata majibu ya mwanasiasa anaponda siasa na wakati huo huo hana vyamzo vingine vya mapato nje ya siasa.
 
Kaka Tusamehee! "Tumekosa Sisii, Tumekosa Sisii, Tumekosaa Sanaa"
 
Kama kuna kosa ambalo wapinzani walikosea ni kuruhusu vilaza kuwa wasemaji wao kama mzee Lema
Yaani mpaka sasa hujapata hata point moja kutoka katika ajenda za Lema, mwl wako alipata taabu Sana, najua pengine utkuwa mnufaika wa keki lakini tupunguze ulafi tuliponye Taifa, hivi unaweza kubadili uchumi wa nchi kwa kuwaacha vijana 70 % waki engage katika bodaboda!! Kwanza unaangamiza nguvu kazi mapema then unatengeneza uchumi wa kichuuzi usioweza kushindana popote
 
Kaka Tusamehee! "Tumekosa Sisii, Tumekosa Sisii, Tumekosaa Sanaa"
Yaani mpaka sasa hujapata hata point moja kutoka katika ajenda za Lema, mwl wako alipata taabu Sana, najua pengine utkuwa mnufaika wa keki lakini tupunguze ulafi tuliponye Taifa, hivi unaweza kubadili uchumi wa nchi kwa kuwaacha vijana 70 % waki engage katika bodaboda!! Kwanza unaangamiza nguvu kazi mapema then unatengeneza uchumi wa kichuuzi usioweza kushindana popote
Unajua maana ya kipato halali? Huyu ambae anaoinga boda boda atauonyeshe anafanya biashara gani nje ya siasa? Hivyo wale wavivu wa baharini kazi yao sio hatarishi?je wanaofanya migodini kazi zao sio hatarishi?je madaktari wa binadamu kazi zao si hatarishi?
 
Le
Tupe njia alizotumia lema hadi akawa tajiri,Tuanzie hapo kwanza,maana hadi sasa nashindwa pata majibu ya mwanasiasa anaponda siasa na wakati huo huo hana vyamzo vingine vya mapato nje ya siasa.
Lema hajasema yeye ni tajiri,,,kasema kutaja dola 5000 anazolipwa mbunge wa tz kwamba ni hela nyingi inategemea uko katika jamii maskini kiasi gani kwa sababu usd 5000 ni malipo kwa wasiokuwa nakazi ulaya na marekani,,,,yeye ameenda uhamishoni kafanya kazi kapata kamtaji anataka awekeze angalau Dubai,,,tuwe wakweli Lema anaamsha bongo zetu zimelala Sana.
 
Lema baada ya kukataliwa humu kwa uropokaji wake ameamua kila baada ya nusu saa kuleta uzi mpya .Haisaidii chochote ulisharopoka na umeonekana mtu wa ovyo kupita maelezo aisee. Hata hivyo sio vibaya tukajikumbusha yafuatayo toka kwa Lema:
View attachment 2556959
Mjinga mwengine ndio wewe.
Yaani mleta mada kaeleza vizuri tu wewe unajilipua.
Bado iko shida na hatusongi mbele.

Karibu tu kuchukulua Hilo la akina mama! Wanalala wawili kwa kitanda Moja wakijifungua na huku tunajinasibu uchumi! Wakiendelea kupiga pesa!.

Juzi tu kumetokezea gonjwa lililojulikana Bukoba huko! Serikali Waziri husika na wenzake kulivalia njuga na kutangaza kuzika wasafiri Kwa muda wameacha watu wakiendelea kusafiri mikoa na miji jadhaa! Unatarajia Nini ka.ni Ebola hiyo!
Na hadi muda huu hakuna majibu ya sampuli! Maabara wanafanya Nini?

Bodaboda sio AJIRA na haina mafao ya uzeeni Wala Bima!!.
 
Back
Top Bottom