Nimempinga Godbless Lema ila sasa Natubu

Nimempinga Godbless Lema ila sasa Natubu

Lema kaamsha wajinga mkuu ,matusi yake ka mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi muelewa lema .Ataeleweka kwa vilaza wenzake tu.
Hao waliomwelewa lema ndo wenye akili timamu.kama hujamwelewa jua wewe ni kilaza.
 
Point ya Lema ni moja tu kwamba WATANZANIA WANA UMASKINI WA KUTENGENEZEWA NA WATAWALA WAOVU,,,,,huwezi kuwaaminisha vijana eti bodaboda ndio hub ya kukuza uchumi wao na nchi kwa ujumla.
Mkuu boda boda vijana hufanya kwa hiari yao kama ambavyo vijana wengine hufanya shughuli zengine, wapo waliyopitia kuendesha boda boda na sasa wana shughuli zengine, sasa Lema alitaka vijana wa boda boda wafanye nini? Hapo ndio kwenye hoja.
 
Imagine nchi zilizosaidiwa kupata uhuru wanatupiga gape kirahisi sana na sisi tulitangulia kujitawala demokrasia yetu haina manufaa japo hatujui kwamba hao wapinzani wanachoongea wanamaanisha ila kiukweli tumechelewa sana resource na hali za wananchi haviendani
Demokrasia haina faida kwa watu wenye akili ndogo.
 
Mkuu boda boda vijana hufanya kwa hiari yao kama ambavyo vijana wengine hufanya shughuli zengine, wapo waliyopitia kuendesha boda boda na sasa wana shughuli zengine, sasa Lema alitaka vijana wa boda boda wafanye nini? Hapo ndio kwenye hoja.
Kwahyo wale makahaba wanaojiuza nao kwa sababu wameamua kwa hiari yao tuseme ni kazi halali!? Lema hajasema wasifanye bodaboda bali anasema siyo kazi nzuri ya kufanywa na vijana wetu ambao Taifa linawategemea badala yake serikali ifungue fursa mashambani vijana wakalime au waajiriwe,fursa za kiutalii,viwanda nk hapo huwezi kuta mtu anakimbiza upepo
 
Ni kujenga miundo mbinu toshelezi itakayoondoa foleni mijini na kupunguza gharama za usafiri (abiria) ikishakuwa na miundombinu kila mahali patafikika kirahisi kwa gharama nafuu hivyo badala ya pikipiki kutumika Kama usafiri kwa abiria angalau tubaki na daladala sehemu zote za nchi,,,,,,,vutia wawekezaji mashambani na viwandani vijana waajiriwe alafu uone Kama vijana watapenda tena bodaboda.
Kwa hiyo wewe ndiye huyo Lema, na hii uliyowasilisha hapa ndilo utatuzi wa swala la bodaboda?

Kama hii ndiyo mipango yako Lema, naona huna lolote la kuisaidia Tanzania. Hii nadharia itaanza kutimizwa lini na kukamilika lini?
 
Wee ni mjumbe wa kamati kuu ya Ccm alafu hujui utawasaidiaje vijana kuwa na ajira zinazowapa uhakika wa kuishi baada ya miaka kuwa na miaka 50!!! Aisee Kama viongozi ndo nyinyi msiothamini afya za vijana basi hii nchi ndio basi tena
Nilijua tu toka niliposoma bandiko lako huko mwanzo, kwamba hapa hakuna kitu.
 
Kuhusu afya nenda hospitali kajionee vituko katika korido za hospitali ambao mgonjwa anachukuliwa Kama mtu asiefaa, anatukanwa na manesi utadhani nguruwe pori.
Hapa umeongea ukweli na inasikitisha sana nchi yangu Tanzania wengi wanakufa kwa kukosa huduma za matibabu na km wewe ni masikini unaumwa huna pesa lazima ufe tu
 
Aisee binafsi nimekuwa nampinga Lema toka afike nchini na kuibua hoja mbali mbali. Lakini sasa naomba niseme samahani Lema nimekukosea Sana.

Nimekaa kwenye tafakari siku 3 nikagundua kwamba jamii ya watz iko gizani hivyo hiawezi kung'amua hoja nzigo za Lema, na bahati mbaya hata wenye kuelewa hawasemi maana pengine wananufaika na umaskini huu wa mtz.

Haiwezekani nifanye kazi ambayo hainihakikishii maisha bora uzeeni (bodaboda) halafu niite ni ajira njema, kwa wakulima hii tunaiita subsistance farming yaani unalimia tumbo tu.

Kuhusu kujali haki za watu Lema kaongea uhakika kabisa, ukitaka kujua hili nenda kutafuta huduma katika ofisi za umma ndio utaelewa nchi hii ina Safari ndefu Sana.

Kuhusu afya nenda hospitali kajionee vituko katika korido za hospitali ambao mgonjwa anachukuliwa Kama mtu asiefaa, anatukanwa na manesi utadhani nguruwe pori.

Mama wajawazito maskini utadhani labda kubeba mimba ni dhambi kwao, wanatuknwa mpaka sio poa, wanajifungua kwa kupigwa makofi na kusimangwa hadi huruma, sasa Lema akisema mbwa Canada ana thamani kuliko binadamu tz ana kosa gani!?

Nimejiona mjinga nilipojaribu kusema eti huwezi fananisha Tz na Canada, nikajijibu kwani Canada wamewezaje kufika hapo na sisi tumeshindwaje kufika hatua nzuri, inakuwaje tuwe na rasilimali halafu tushindwe kuzibadilisha kuwa utajiri!? Je, tumeshindwa kuwekeza katika akili za watu wetu!? Na nini kimetufanya tushindwe kuitumia rasilimali watu kuwa nyenzo muhimu kujiletea maendeleo!?

Ndg Lema amefichua misukule ya watu iliyofichwa miaka mingi hivyo lazima wenye misukule wawe wakali.

Tungekuwa na akili Kama taifa na vyombo vya habari huru vinavyojua kuona mbali, tungezitumia ajenda za Lema haraka Sana iwe ndio mjadala ili tujue tunatokaje kwenye mkwamo huu.

Tunahitaji akina Lema Kama 20 tu then Taifa litaacha kuzungumzia Mambo mepesi.

Jamani ubodaboda siyo kazi nmefkiria Sana, wewe mtu unafanyaje kazi eti mwl unalipwa tsh 400,000/ sijui Askari sh.400,000 alafu useme Lema anatukana watu.

Ni bahati mbaya hatuna watu wa kukuza mijadala Kama hii, vyombo vya habari vimekalia uchawa.
Unajua tatizo unadharau Sana wewe mleta mada

Jua kuwa kidogodogo ndo uleta kikubwa hata hao walioendelea walianza na kidogo
 
Nyinyi mtaendelea lini!! Kwani waafrika tumeumbwa baadae baada ya mungu kuumba watu wengine!? Kama siyo! Kwanini tuko hivi na wao wako vile,,kwani Kuna shida gani ukikubali hatuna viongozi waliowekeza katika siasa za maendeleo badala yake wanatengeneza watu maskini Kama bodaboda,mama ntillie na tu Vikoba (circle ya umaskini) then wanachukua Kama sehemu ya kupatia kura( viongozi waovu)


Unajua tatizo unadharau Sana wewe mleta mada

Jua kuwa kidogodogo ndo uleta kikubwa hata hao walioendelea walianza na kidogo
 
Back
Top Bottom