Nimempinga Godbless Lema ila sasa Natubu

Lema baada ya kukataliwa humu kwa uropokaji wake ameamua kila baada ya nusu saa kuleta uzi mpya .Haisaidii chochote ulisharopoka na umeonekana mtu wa ovyo kupita maelezo aisee. Hata hivyo sio vibaya tukajikumbusha yafuatayo toka kwa Lema:
View attachment 2556959
Ninaafikiana nae asikubali wanae wakaendesha bodaboda. Sio kazi nzuri
 
Aisee binafsi nimekuwa nampinga Lema toka afike nchini na kuibua hoja mbali mbali. Lakini sasa naomba niseme samahani Lema nimekukosea Sana.

Nimekaa kwenye tafakari siku 3 nikagundua kwamba jamii ya watz iko gizani hivyo hiawezi kung'amua hoja nzigo za Lema, na bahati mbaya hata wenye kuelewa hawasemi maana pengine wananufaika na umaskini huu wa mtz.

Haiwezekani nifanye kazi ambayo hainihakikishii maisha bora uzeeni (bodaboda) halafu niite ni ajira njema, kwa wakulima hii tunaiita subsistance farming yaani unalimia tumbo tu.

Kuhusu kujali haki za watu Lema kaongea uhakika kabisa, ukitaka kujua hili nenda kutafuta huduma katika ofisi za umma ndio utaelewa nchi hii ina Safari ndefu Sana.

Kuhusu afya nenda hospitali kajionee vituko katika korido za hospitali ambao mgonjwa anachukuliwa Kama mtu asiefaa, anatukanwa na manesi utadhani nguruwe pori.

Mama wajawazito maskini utadhani labda kubeba mimba ni dhambi kwao, wanatuknwa mpaka sio poa, wanajifungua kwa kupigwa makofi na kusimangwa hadi huruma, sasa Lema akisema mbwa Canada ana thamani kuliko binadamu tz ana kosa gani!?

Nimejiona mjinga nilipojaribu kusema eti huwezi fananisha Tz na Canada, nikajijibu kwani Canada wamewezaje kufika hapo na sisi tumeshindwaje kufika hatua nzuri, inakuwaje tuwe na rasilimali halafu tushindwe kuzibadilisha kuwa utajiri!? Je, tumeshindwa kuwekeza katika akili za watu wetu!? Na nini kimetufanya tushindwe kuitumia rasilimali watu kuwa nyenzo muhimu kujiletea maendeleo!?

Ndg Lema amefichua misukule ya watu iliyofichwa miaka mingi hivyo lazima wenye misukule wawe wakali.

Tungekuwa na akili Kama taifa na vyombo vya habari huru vinavyojua kuona mbali, tungezitumia ajenda za Lema haraka Sana iwe ndio mjadala ili tujue tunatokaje kwenye mkwamo huu.

Tunahitaji akina Lema Kama 20 tu then Taifa litaacha kuzungumzia Mambo mepesi.

Jamani ubodaboda siyo kazi nmefkiria Sana, wewe mtu unafanyaje kazi eti mwl unalipwa tsh 400,000/ sijui Askari sh.400,000 alafu useme Lema anatukana watu.

Ni bahati mbaya hatuna watu wa kukuza mijadala Kama hii, vyombo vya habari vimekalia uchawa.
Hii nayo ni mada kweli, hadi inakwenda kurasa zaidi ya nane, na watu kibao kupenda yaliyowasirishwa?

Kwani hao bodaboda wanakuwepo bila uwepo wa wahitaji wa huduma zao?

Ondoa hao wanaotumia hiyo huduma, bodaboda huwaoni tena, lakini Lema na hili kundi la akina mkuu'Kyenyabasa' hili hawalioni wala kujiuliza juu yake.

Huyo Lema na chama alichomo hao wahitaji wa huduma hiyo watawapa njia mbadala gani ili wasitumie bodaboda?

Lema sijawahi kumwona kuwa mwanasiasa mwenye ufahamu wa mambo, ni kama mtu tu asiyekuwa na upeo na hasa siku hizi baada ya kwenda huko Canada, sijui kaingiwa na wadudu gani kichwani!
Leo anasema $5000, mshahara wa wabunge ni posho wanayopata wasio na kazi Marekani? Hii ni akili, au matope tupu kichwani.

Naona Lema amekuja kuizika kabisa CHADEMA, na kutokana na matamshi aliyotoa Mwenyekiti Mbowe kuhusu mwelekeo wa chama hicho, nadhani sasa wanakiweka chama kwenye nafasi ngumu sana kukubalika na waTanzania na hatimaye kupewa ridhaa ya kushika serikali.

Tegemeo tu sasa, labda wabaki katika kusubiri kupandia kwa mgongo wa Samia ndani ya CCM, vinginevyo misimamo yao juu ya waTanzania na maisha yao inawaondoa kabisa kuwa chama cha kuaminika kuleta mabadililko chanya ndani ya nchi hii.

Lema aeleze atafanya nini, yeye na chama chake ili waTanzania wasitumie tena huduma za bodaboda. Hilo ndilo jambo muhimu analotakiwa kulizungumzia, badala ya hii mipasho ya kipuuzi kabisa ambayo amekuja nayo toka huko ukimbizini.
 
Wachache sana wa kuona hili ila ukweli Lema kakamata penyewe bahati mbaya jamii ya kiafrika haitaki kusikia ukweli inataka uongo wa kujiliwaza tu lakini Lemma yuko maili mia mbele.
Point ya Lema ni ipi katika huo ukweli anaoongea?
 
Lema baada ya kukataliwa humu kwa uropokaji wake ameamua kila baada ya nusu saa kuleta uzi mpya .Haisaidii chochote ulisharopoka na umeonekana mtu wa ovyo kupita maelezo aisee. Hata hivyo sio vibaya tukajikumbusha yafuatayo toka kwa Lema:
View attachment 2556959
Lema ndio tegemeo la nchi hii siku si nyingi, tumuunge mkono.
 
Hii nayo ni mada kweli, hadi inakwenda kurasa zaidi ya nane, na watu kibao kupenda yaliyowasirishwa?

Kwani hao bodaboda wanakuwepo bila uwepo wa wahitaji wa huduma zao?

Ondoa hao wanaotumia hiyo huduma, bodaboda huwaoni tena, lakini Lema na hili kundi la akina mkuu'Kyenyabasa' hili hawalioni wala kujiuliza juu yake.

Huyo Lema na chama alichomo hao wahitaji wa huduma hiyo watawapa njia mbadala gani ili wasitumie bodaboda?

Lema sijawahi kumwona kuwa mwanasiasa mwenye ufahamu wa mambo, ni kama mtu tu asiyekuwa na upeo na hasa siku hizi baada ya kwenda huko Canada, sijui kaingiwa na wadudu gani kichwani!
Leo anasema $5000, mshahara wa wabunge ni posho wanayopata wasio na kazi Marekani? Hii ni akili, au matope tupu kichwani.

Naona Lema amekuja kuizika kabisa CHADEMA, na kutokana na matamshi aliyotoa Mwenyekiti Mbowe kuhusu mwelekeo wa chama hicho, nadhani sasa wanakiweka chama kwenye nafasi ngumu sana kukubalika na waTanzania na hatimaye kupewa ridhaa ya kushika serikali.

Tegemeo tu sasa, labda wabaki katika kusubiri kupandia kwa mgongo wa Samia ndani ya CCM, vinginevyo misimamo yao juu ya waTanzania na maisha yao inawaondoa kabisa kuwa chama cha kuaminika kuleta mabadililko chanya ndani ya nchi hii.

Lema aeleze atafanya nini, yeye na chama chake ili waTanzania wasitumie tena huduma za bodaboda. Hilo ndilo jambo muhimu analotakiwa kulizungumzia, badala ya hii mipasho ya kipuuzi kabisa ambayo amekuja nayo toka huko ukimbizini.
Ni kujenga miundo mbinu toshelezi itakayoondoa foleni mijini na kupunguza gharama za usafiri (abiria) ikishakuwa na miundombinu kila mahali patafikika kirahisi kwa gharama nafuu hivyo badala ya pikipiki kutumika Kama usafiri kwa abiria angalau tubaki na daladala sehemu zote za nchi,,,,,,,vutia wawekezaji mashambani na viwandani vijana waajiriwe alafu uone Kama vijana watapenda tena bodaboda.
 
Hii nayo ni mada kweli, hadi inakwenda kurasa zaidi ya nane, na watu kibao kupenda yaliyowasirishwa?

Kwani hao bodaboda wanakuwepo bila uwepo wa wahitaji wa huduma zao?

Ondoa hao wanaotumia hiyo huduma, bodaboda huwaoni tena, lakini Lema na hili kundi la akina mkuu'Kyenyabasa' hili hawalioni wala kujiuliza juu yake.

Huyo Lema na chama alichomo hao wahitaji wa huduma hiyo watawapa njia mbadala gani ili wasitumie bodaboda?

Lema sijawahi kumwona kuwa mwanasiasa mwenye ufahamu wa mambo, ni kama mtu tu asiyekuwa na upeo na hasa siku hizi baada ya kwenda huko Canada, sijui kaingiwa na wadudu gani kichwani!
Leo anasema $5000, mshahara wa wabunge ni posho wanayopata wasio na kazi Marekani? Hii ni akili, au matope tupu kichwani.

Naona Lema amekuja kuizika kabisa CHADEMA, na kutokana na matamshi aliyotoa Mwenyekiti Mbowe kuhusu mwelekeo wa chama hicho, nadhani sasa wanakiweka chama kwenye nafasi ngumu sana kukubalika na waTanzania na hatimaye kupewa ridhaa ya kushika serikali.

Tegemeo tu sasa, labda wabaki katika kusubiri kupandia kwa mgongo wa Samia ndani ya CCM, vinginevyo misimamo yao juu ya waTanzania na maisha yao inawaondoa kabisa kuwa chama cha kuaminika kuleta mabadililko chanya ndani ya nchi hii.

Lema aeleze atafanya nini, yeye na chama chake ili waTanzania wasitumie tena huduma za bodaboda. Hilo ndilo jambo muhimu analotakiwa kulizungumzia, badala ya hii mipasho ya kipuuzi kabisa ambayo amekuja nayo toka huko ukimbizini.
Wee ni mjumbe wa kamati kuu ya Ccm alafu hujui utawasaidiaje vijana kuwa na ajira zinazowapa uhakika wa kuishi baada ya miaka kuwa na miaka 50!!! Aisee Kama viongozi ndo nyinyi msiothamini afya za vijana basi hii nchi ndio basi tena
 
Nina uhakika atakama wapinzani wakachukua Dola mambo yatukua hayahaya, Case study, Zambia na Malawi... Chama Cha siasa kikienda kuanguka kinamtindo wakujibadiri rangi
Kama wananchi msipochukua mamlaka yenu kupitia katiba tegemea hata chadema watafanya hayo hayo!! Wananchi tunatakiwa kuwa wakali haswaa siyo Kama tulivyo hivi utadhani makondoo
 
Point ya Lema ni moja tu kwamba WATANZANIA WANA UMASKINI WA KUTENGENEZEWA NA WATAWALA WAOVU,,,,,huwezi kuwaaminisha vijana eti bodaboda ndio hub ya kukuza uchumi wao na nchi kwa ujumla.
Sidhani kama atakuelewa
 
Tofauti kati ya ajira na kujiagiri ni "uhakika" aliyeajiriwa ana uhakika kwa kuwa ana mkataba wa kumlinda. Aliyejiajiri akiwa na afya njema na akijituma ataweka akiba kubwa kwa mwezi kuliko aliyeajiriwa. Uzeeni wote wanakula pensheni ila aliyejiajira ataishi vizuri zaidi.
 
Aisee binafsi nimekuwa nampinga Lema toka afike nchini na kuibua hoja mbali mbali. Lakini sasa naomba niseme samahani Lema nimekukosea Sana.

Nimekaa kwenye tafakari siku 3 nikagundua kwamba jamii ya watz iko gizani hivyo hiawezi kung'amua hoja nzigo za Lema, na bahati mbaya hata wenye kuelewa hawasemi maana pengine wananufaika na umaskini huu wa mtz.

Haiwezekani nifanye kazi ambayo hainihakikishii maisha bora uzeeni (bodaboda) halafu niite ni ajira njema, kwa wakulima hii tunaiita subsistance farming yaani unalimia tumbo tu.

Kuhusu kujali haki za watu Lema kaongea uhakika kabisa, ukitaka kujua hili nenda kutafuta huduma katika ofisi za umma ndio utaelewa nchi hii ina Safari ndefu Sana.

Kuhusu afya nenda hospitali kajionee vituko katika korido za hospitali ambao mgonjwa anachukuliwa Kama mtu asiefaa, anatukanwa na manesi utadhani nguruwe pori.

Mama wajawazito maskini utadhani labda kubeba mimba ni dhambi kwao, wanatuknwa mpaka sio poa, wanajifungua kwa kupigwa makofi na kusimangwa hadi huruma, sasa Lema akisema mbwa Canada ana thamani kuliko binadamu tz ana kosa gani!?

Nimejiona mjinga nilipojaribu kusema eti huwezi fananisha Tz na Canada, nikajijibu kwani Canada wamewezaje kufika hapo na sisi tumeshindwaje kufika hatua nzuri, inakuwaje tuwe na rasilimali halafu tushindwe kuzibadilisha kuwa utajiri!? Je, tumeshindwa kuwekeza katika akili za watu wetu!? Na nini kimetufanya tushindwe kuitumia rasilimali watu kuwa nyenzo muhimu kujiletea maendeleo!?

Ndg Lema amefichua misukule ya watu iliyofichwa miaka mingi hivyo lazima wenye misukule wawe wakali.

Tungekuwa na akili Kama taifa na vyombo vya habari huru vinavyojua kuona mbali, tungezitumia ajenda za Lema haraka Sana iwe ndio mjadala ili tujue tunatokaje kwenye mkwamo huu.

Tunahitaji akina Lema Kama 20 tu then Taifa litaacha kuzungumzia Mambo mepesi.

Jamani ubodaboda siyo kazi nmefkiria Sana, wewe mtu unafanyaje kazi eti mwl unalipwa tsh 400,000/ sijui Askari sh.400,000 alafu useme Lema anatukana watu.

Ni bahati mbaya hatuna watu wa kukuza mijadala Kama hii, vyombo vya habari vimekalia uchawa.
Tafiti zilionyesha kuwa tz kuna wagonjwa wa akili na wajinga wengi ndio maana utakuta vijana wanshangilia umaskini wao
 
Imagine nchi zilizosaidiwa kupata uhuru wanatupiga gape kirahisi sana na sisi tulitangulia kujitawala demokrasia yetu haina manufaa japo hatujui kwamba hao wapinzani wanachoongea wanamaanisha ila kiukweli tumechelewa sana resource na hali za wananchi haviendani
 
Tofauti kati ya ajira na kujiagiri ni "uhakika" aliyeajiriwa ana uhakika kwa kuwa ana mkataba wa kumlinda. Aliyejiajiri akiwa na afya njema na akijituma ataweka akiba kubwa kwa mwezi kuliko aliyeajiriwa. Uzeeni wote wanakula pensheni ila aliyejiajira ataishi vizuri zaidi.
Kwa ajira ipi bodaboda au!? Hawezi kusevu pesa bodaboda na hata akiisevu itaishia kumtibu magonjwa yatokanayo na kukimbiza upepo
 
Imagine nchi zilizosaidiwa kupata uhuru wanatupiga gape kirahisi sana na sisi tulitangulia kujitawala demokrasia yetu haina manufaa japo hatujui kwamba hao wapinzani wanachoongea wanamaanisha ila kiukweli tumechelewa sana resource na hali za wananchi haviendani
Demokrasia Haina ubaya maana inawasaidia watu kujiamulia Mambo yao ila wtz hatujaweza kuitumia ipasavyo kuwawajibisha walafi wa rasilimali zetu
 
Back
Top Bottom