Nimempinga Godbless Lema ila sasa Natubu

Nimempinga Godbless Lema ila sasa Natubu

HiI
Huyo anawakilisha uhalisia wa akili za hao "maafisa usafirishaji" waliosemwa na bwana mdogo Lema.

Wanafikiria uchaguzi tu ili wapate kujaziwa mafuta pikipiki zao na kupewa elfu kumi kumi tu.

Huyu jamaa ndiyo mojawapo ya wale ambao ndugu Lema amewaongelea.

Magufuli tulimuelewa saaana ndio maana aliwashughulikia wajinga kama huyu kilaza anaetukana watanzania kuwa wanafanya kazi za laana ,ni washamba na ni maskini.
Sasa mtu Kama wewe si ni mshamba kweli !? Kutokutembea kunawafnya vijana wa kitanzania kuwa domant mno!!! Hivi una hata passport kweli wewe kwa akili hii!?
 
Kuna watu hawahitaji cv kuwatumbilisha, halafu kuna watu wana cv kubwa hata page 10 ila bado ni mediocres tu.
Tuletee cv ya Lema hapa then we will be in a position to know who is really a mediocre
 
Lema wakwanza hoja kama hizo au nyie ni wa 2002 itakuwa
Hatutaki tena kukaa kwenye chumba cha misukule tulichowekwa na viongozi waovu sasa ni saa ya ukombozi,,,misukule itarejeshewa nafsi zake na mlioifuga mtataabika Sana!! 2025 nilisajili Arusha nimchague Lema
 
Yeye kama Lema aliweza fanya nini kwa kufikiri na kuweza kujikwamua kimaisha kama ambavyo kuna wafanya biashara ambao wanatoa wasifu wao njia walizopitia hadi kutoboa .Huyu mwamba feki yeye analaumu kwa kwenda mbele.Brother mawzo mmbadal sio kulaumu bali ninkutoa mbinu za nini kifanyike.
Wapi amelaumu?
 
HiI
Huyo anawakilisha uhalisia wa akili za hao "maafisa usafirishaji" waliosemwa na bwana mdogo Lema.

Wanafikiria uchaguzi tu ili wapate kujaziwa mafuta pikipiki zao na kupewa elfu kumi kumi tu.

Huyu jamaa ndiyo mojawapo ya wale ambao ndugu Lema amewaongelea.

Je kenya na uganda ni matajiri?
Washamba mnaosemwa na Lema .
 
Jamaa utakuwa mwl maana unajua kuelimisha!! Hakika huwezi ku transform uchumi wa nchi ushindane duniani kwa kuwadump vijana katika ubodaboda na vikoba kumfanyia kazi muhindi
Asante Mkuu,huyu ndugu najaribu kumueleza vitu vidogo tu aache mkumbo kubisha vitu vya maana haitusaidii,lazima tuukubali ukweli...tatizo tunalopata ni kwamba watanzania wengi bado hatupendi kuujua ukweli mchungu.
 
Inawezekana ila sasa chama mbadala hakuna
Unasubiri Nani akuanzishie hicho chama!! HiI ndo dizaini yetu wtz tukishakukula maugali basi tunaona hakuna Kama sisi duniani hivi tumerogwa au!! Eti unakuta mtu anashangilia nimeajiriwa mshahara 400,000
 
Huyo anawakilisha uhalisia wa akili za hao "maafisa usafirishaji" waliosemwa na bwana mdogo Lema.

Wanafikiria uchaguzi tu ili wapate kujaziwa mafuta pikipiki zao na kupewa elfu kumi kumi tu.

Huyu jamaa ndiyo mojawapo ya wale ambao ndugu Lema amewaongelea.
Jamaa wana akili ndogo sana, inasikitisha na kutia hasira pia
 
Asante Mkuu,huyu ndugu najaribu kumueleza vitu vidogo tu aache mkumbo kubisha vitu vya maana haitusaidii,lazima tuukubali ukweli...tatizo tunalopata ni kwamba watanzania wengi bado hatupendi kuujua ukweli mchungu.
Usichoke pengine na huko ulaya wajinga Kama Hawa walikuwepo walibadilika taratibuu
 
Tati

Tatizo watu wanapeleka chuki zao binafsi kwa Lema wanaacha kuona ukweli wa hoja za mujarabu kabisaaa na kazileta wakati muhafaka ila walafi hawataki watu wafunguke akili
Tatizo liko hapo, propaganda hizi zinaharibu kila kitu
 
Back
Top Bottom