Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiamungu tukipata watu wanaosema ukweli Kama Lema bila kujali atapoteza kura hili Taifa litafika mbali mnooo!!
Hakika ni kazi kweli kweli kama kilaza kama Lema anawayumbisha ni lazima iwe hivyoKazi kweli kweli.
Hapo kwenye exposure ndipo kwenye point zake zote Lema zilipo, mambo ya ugali,boda boda ni mifano,anataka kutufungu akili kwa mifano rahisi,kwa mtanzania mwenye upeo hawezi kuona bodaboda kama kazi ya kudumu hata kama muhusika analisha familia, tunaangalia productivity nationwide...je baadaya miaka mitano tutapiga hatua zipi kwa kutegemea bodaboda?Lema ni mtu amepata Exposure ameona jinsi wenzetu wanavyokabiriana na umaskini na tatizo la ajira. Sasa ni miongoni mwa Watz ambao hawajaamua kukacha na kusema watajijua wenyewe kama walivuo diaspora wengine.
Kwa tanzania mtu akitoka kimaisha huwa hataki hata kufundisha wenzake kwa sababu anataka aabudiwe. Lema amekuja na mawazo mapya tumsikilize kama yanayekelezeka tuyachukue.
Tuletee cv ya Lema hapa then we will be in a position to know who is really a mediocreLema anaongea mambo mazito sana ambayo hayawezi kuhimilika kwa watu mediocres
Mangi sina uwivu wowote uleWivu utakuua
Hoja moja,Lema anajaribu kutuonyesha sisi ni masikini wa kipato, kufikiri,anatuamsha tuamke tutoke nje ya box tuwaze, anajaribu kuonyesha bodaboda sio kazi ya katika nchi zilizoendelea na zinazotaka kuendelea,lazima kama nchi tutafute ufumbuzi wa kudumu wa tatizo la ajira.Tupe hoja nzuri moja tu ya Lema
Kwa hiyo boda boda ndio kilaza Lema kaona ndio shughuli kuu wafanyayo watanzania sioHapo kwenye exposure ndipo kwenye point zake zote Lema zilipo, mambo ya ugali,boda boda ni mifano,anataka kutufungu akili kwa mifano rahisi,kwa mtanzania mwenye upeo hawezi kuona bodaboda kama kazi ya kudumu hata kama muhusika analisha familia, tunaangalia productivity nationwide...je baadaya miaka mitano tutapiga hatua zipi kwa kutegemea bodaboda?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]V
Vijana hawa na akili zao za connection tu
Yeye kama Lema aliweza fanya nini kwa kufikiri na kuweza kujikwamua kimaisha kama ambavyo kuna wafanya biashara ambao wanatoa wasifu wao njia walizopitia hadi kutoboa .Huyu mwamba feki yeye analaumu kwa kwenda mbele.Brother mawzo mmbadal sio kulaumu bali ninkutoa mbinu za nini kifanyike.Hoja moja,Lema anajaribu kutuonyesha sisi ni masikini wa kipato, kufikiri,anatuamsha tuamke tutoke nje ya box tuwaze, anajaribu kuonyesha bodaboda sio kazi ya katika nchi zilizoendelea na zinazotaka kuendelea,lazima kama nchi tutafute ufumbuzi wa kudumu wa tatizo la ajira.
Hoja sio utajiri wa Lema wala Elimu yake, tunazungumzia Taifa kwa ujumla.Tuletee utajiri wa Lema hapa na elimu yake pia ili tuweze kudadavua vizuri aisee
Jamaa utakuwa mwl maana unajua kuelimisha!! Hakika huwezi ku transform uchumi wa nchi ushindane duniani kwa kuwadump vijana katika ubodaboda na vikoba kumfanyia kazi muhindiHapo kwenye exposure ndipo kwenye point zake zote Lema zilipo, mambo ya ugali,boda boda ni mifano,anataka kutufungu akili kwa mifano rahisi,kwa mtanzania mwenye upeo hawezi kuona bodaboda kama kazi ya kudumu hata kama muhusika analisha familia, tunaangalia productivity nationwide...je baadaya miaka mitano tutapiga hatua zipi kwa kutegemea bodaboda?
Je kenya na uganda ni matajiri?Hoja sio utajiri wa Lema wala Elimu yake, tunazungumzia Taifa kwa ujumla.
Labda uniambie wewe je Tanzania ni nchi masikini au tajiri,na je asilimia kuwa ya watanzia ni masikini au matajiri?
hoja sio tatizo utekelezaji upo...? Kwani lema si alikuwa Mbunge au ? Amefanya kipi?Aisee binafsi nimekuwa nampinga Lema toka afike nchini na kuibua hoja mbali mbali. Lakini sasa naomba niseme samahani Lema nimekukosea Sana.
Nimekaa kwenye tafakari siku 3 nikagundua kwamba jamii ya wtz iko gizani hivyo hiawezi kung'amua hoja nzigo za Lema,,,na bahati mbaya hata wenye kuelewa hawasemi maana pengine wananufaika na umaskini huu wa mtz.
Haiwezekani nifanye kazi ambayo hainihakikishii maisha bora uzeeni (bodaboda) alafu niite ni ajira njema,,,kwa wakulima hii tunaiita subsistance farming yaani unalimia tumbo tu.
Kuhusu kujali haki za watu Lema kaongea uhakika kabisa,,ukitaka kujua hili nenda kutafuta huduma katika ofisi za umma ndio utaelewa nchi hii ina Safari ndefu Sana .
Kuhusu afya nenda hospitali kajionee vituko katika korido za hospitali ambao mgonjwa anachukuliwa Kama mtu asiefaa,anatukanwa na manesi utadhani nguruwe pori.
Mama wajawazito maskini utadhani labda kubeba mimba ni dhambi kwao,,wanatuknwa mpaka sio poa,,,wanajifungua kwa kupigwa makofi na kusimangwa hadi huruma,,sasa Lema akisema mbwa Canada ana thamani kuliko binadamu tz ana kosa gani!?
Nimejiona mjinga nilipojaribu kusema eti huwezi fananisha Tz na Canada,,nkajijibu kwani Canada wamewezaje kufika hapo na sisi tumeshindwaje kufika hatua nzuri,,,inakuwaje tuwe na rasilimali alafu tushindwe kuzibadilisha kuwa utajiri!? Je,tumeshindwa kuwekeza katika akili za watu wetu!? Na nini kimetufanya tushindwe kuitumia rasilimali watu kuwa nyenzo muhimu kujiletea maendeleo!?
Ndg Lema amefichua misukule ya watu iliyofichwa miaka mingi hivyo lazima wenye misukule wawe wakali.
Tungekuwa na akili Kama taifa na vyombo vya hbr huru vinavyojua kuona mbali,,tungezitumia ajenda za Lema haraka Sana iwe ndo mjadala ili tujue tunatokaje kwenye mkwamo huu.
Tunahitaji akina Lema Kama 20 tu then Taifa litaacha kuzungumzia Mambo mepesi.
Jamani ubodaboda siyo kazi nmefkiria Sana,,,we mtu unafanyaje kazi eti mwl unalipwa tsh 400,000/ sijui Askari sh.400,000 alafu useme Lema anatukana watu.
Ni bahati mbaya hatuna watu wa kukuza mijadala Kama hii,,,vyombo vya habari vimekalia uchawa.
Huyo anawakilisha uhalisia wa akili za hao "maafisa usafirishaji" waliosemwa na bwana mdogo Lema.Maskini wtz bado tunawaza takataka za uchaguzi!! Wee ni chata halisi ya mtu mweusi ebu kuwa serious yaani huoni Lema katuamsha!? Acha ulafi kufikiria uchaguzi mzee hapa ndipo tunakwama.
Achana na Maisha ya Lema yeye analizungumzia Taifa na watanzania wote,hata kama yeye ni masikini wa kipato,lakini hoja zake zina maana,anaonyesha kabisa kwamba sisi kama Taifa ni lazima tupambane tutoke hapa tulipo kwenye hali ya umasikiniLema ametoka kimaisha? Unadhania angekuwa ametoka kimaisha angeendelea kupigwa jua ili aweze tu kupata kipato kupitia siasa?
Tatizo watu wanapeleka chuki zao binafsi kwa Lema wanaacha kuona ukweli wa hoja za mujarabu kabisaaa na kazileta wakati muhafaka ila walafi hawataki watu wafunguke akiliHoja sio utajiri wa Lema wala Elimu yake, tunazungumzia Taifa kwa ujumla.
Labda uniambie wewe je Tanzania ni nchi masikini au tajiri,na je asilimia kuwa ya watanzia ni masikini au matajiri?
Njaa nae inasumbua?Lema kweli sio size ya wenye elimu zao za kutosha ndio maana pamoja na kwendabkuoshi nchi yenye fursa kashindwa kupata kazi shauri ya elimu duni aliyonayo ndio maana kaja na mahasira kama ifuatavyo;
View attachment 2556977
Jamaa inaonekana ana uwezo mdogo sana wa kuchambua mambo kwa mapanaWivu utakuua
Yeye ameshaweza kupambana na kutoka kimaisha?Achana na Maisha ya Lema yeye analizungumzia Taifa na watanzania wote,hata kama yeye ni masikini wa kipato,lakini hoja zake zina maana,anaonyesha kabisa kwamba sisi kama Taifa ni lazima tupambane tutoke hapa tulipo kwenye hali ya umasikini