Nimempinga Godbless Lema ila sasa Natubu

Nimempinga Godbless Lema ila sasa Natubu

Naamini hili nalo litapita, Maisha lazima yaendelee. Kile unachokitamania kukiona kwa nchi hii kitafanyiwa kazi 2200.
 
Mimi sio mwanasiasa mangi kwa hiyo wewe endelea kupiga mayowe na wajinga kama lema ambae bila siasa hawezi maisha mengine
Siasa ikikukaa kichwani ni hatari sana... Hawa ccm na chadema ni kitu kimoja na sie wajinga ndio mtaji wao. Familia zao zinaishi maisha mazuri. Sisi wajinga tunarumbana kijiweni wao wapo pamoja hotel za kifahari.

Wakiongea jukwaani sura zao zimenawili sisi za kwetu zimejaa makunyanzi na makovu ya jua...
Afrika tunahitaji mfumo mpya wa kisiasa mbali na hii demokrasia.. Miaka zaidi ya sitini mfumo wa kidemokrasia umeshindwa kuendana na nature ya jamii za kiafrika
 
HiI

Sasa mtu Kama wewe si ni mshamba kweli !? Kutokutembea kunawafnya vijana wa kitanzania kuwa domant mno!!! Hivi una hata passport kweli wewe kwa akili hii!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamaa nadhani hata Dar hajafika
 
Hoja moja,Lema anajaribu kutuonyesha sisi ni masikini wa kipato, kufikiri,anatuamsha tuamke tutoke nje ya box tuwaze, anajaribu kuonyesha bodaboda sio kazi ya katika nchi zilizoendelea na zinazotaka kuendelea,lazima kama nchi tutafute ufumbuzi wa kudumu wa tatizo la ajira.
Asante
 
Siasa ikikukaa kichwani ni hatari sana... Hawa ccm na chadema ni kitu kimoja na sie wajinga ndio mtaji wao. Familia zao zinaishi maisha mazuri. Sisi wajinga tunarumbana kijiweni wao wapo pamoja hotel za kifahari.

Wakiongea jukwaani sura zao zimenawili sisi za kwetu zimejaa makunyanzi na makovu ya jua...
Afrika tunahitaji mfumo mpya wa kisiasa mbali na hii demokrasia.. Miaka zaidi ya sitini mfumo wa kidemokrasia umeshindwa kuendana na nature ya jamii za kiafrika
Tatizo ni letu kwa sababu tumeacha wajibu wetu Kama wananchi kuwakaba Koo wanasiasa wetu kutimiza au kutanya tunayotaka tumekalia umbea tuuu
 
Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe,mtaji wa matajiri ni masikini wa kipato na fikra.
Watanzania tuamke,tuanze kutumia akili kwenye mambo yanayohitajika kutumia akili tutatoka hapa tulipo.
 
Tatizo ni letu kwa sababu tumeacha wajibu wetu Kama wananchi kuwakaba Koo wanasiasa wetu kutimiza au kutanya tunayotaka tumekalia umbea tuuu
Kweli kabisa... Bob Marley alipata kunena" Serikari Haina makosa, makosa wanayo wanachi kwani wao ndio waliyoichagua hiyo serikari"
 
Wtz tuungane na watu wanaotuonesha njia na kuusema ukweli haya mahafidhina yasiyokubali kwamba hatukutakiwa kuwa hivi tuyapuuze mungu atashughulika nayo
 
Nina uhakika atakama wapinzani wakachukua Dola mambo yatukua hayahaya, Case study, Zambia na Malawi... Chama Cha siasa kikienda kuanguka kinamtindo wakujibadiri rangi
 
Ukiona kiongozi mbaya yuko madarakani ujue kabisa wananchi wake ni wabaya kuliko yeye.

Ukiona mbunge wako ni kila basi jimbo zima ni vilaza kuliko yeye.

Ukiona nchi inalala ujue wananchi wamelala zaidi.

Uongozi uliopo madarakani unaakisi kwa kiasi kikubwa tabia za wananchi wake.
 
Nina uhakika atakama wapinzani wakachukua Dola mambo yatukua hayahaya, Case study, Zambia na Malawi... Chama Cha siasa kikienda kuanguka kinamtindo wakujibadiri rangi
Ni kweli kabisa,tatizo la mwafrika lipo kwenye fikra,hilo halina ubishi
 
Lema unaweza mchukulia KKama chizi lakini hoja zake ni nzito mnooo inabidi zijadiliwe na watu wazito na wazalendo pia!! Wtz tunanuka shida siyo waajiriwa Wala wasioajiriwa wee mtumishi gani unalipwa mshahara laki 4 alafu na kiinua mgongo 30 milioni hivi huu si ushetani,,,wtz tunamsubr marekani akorome ndo walafi wetu washtuke hivi sisi ni watu kweli!? Alf Lema anasema ukweli tunambeza!??
 
T

Tatizo siyo vyama bali uwezo wa wananchi kufikiri,,,unaweza kudhani mwafrika si kiumbe kamili sababu tupo tupo tu
Inafikirisha sana mkuu, Angalia Nigeria mambo yanayoendelea,unajikuta tu unashangaa, waafrika sisi ipo shida kubwa sana.
 
Back
Top Bottom