Lema alisema kuwa mbwa wa canada ana heshima na utu kuliko watanzania ,sasa huwa najiuliza kilichomrejesha nchi ni nini?
Unamjua lakini mbwa wa Canada?Lema alisema kuwa mbwa wa canada ana heshima na utu kuliko watanzania ,sasa huwa najiuliza kilichomrejesha nchi ni nini?
Mimi sio mwanasiasa mangi kwa hiyo wewe endelea kupiga mayowe na wajinga kama lema ambae bila siasa hawezi maisha mengineKachunge ng'ombe tu mzee mamb haya mmedandia sio level yenu!!
Si ndio Lema anaetukana watanzania kil uchaoUnamjua lakini mbwa wa Canada?
Amandla...
Hili swali ukiwahojji kamati kuu ya Ccm itapendeza,, inakuwaje wanarasimisha umaskini eti ndiyo ajira,,,hapana na wewe toka huko uliko ushakula vya kutosha acha ulafi ,,,bodaboda siyo kazi.Embu tuambia tunatokaje kwenye mkwamo wa kuita watanzania ni laana ,washamba ,na ni maskini?
Mangi Lema ana exposure gani aisee?Kasha jifunza nchi zingine wanaishije. Exposure inasaidia kiakili ukiwa na akili timamu lakini.
Mwambieni lema awasilishe document yoyote inayothibitisha anafanya biashara haki ya mungu nitaacha kupost chochote humu kuanzia leoHii
Hili swali ukiwahojji kamati kuu ya Ccm itapendeza,, inakuwaje wanarasimisha umaskini eti ndiyo ajira,,,hapana na wewe toka huko uliko ushakula vya kutosha acha ulafi ,,,bodaboda siyo kazi.
Jenga hoja tulikwamue Taifa linakufa chini chama cha mapinduziYeye Lema binafsi kashindwa kufika mbali ndio maana kaamua siasa ndio maisha yake ,acheni utani bana.
Walioenda canada na elimu zao wanafanya kazi ,yeye hata ya kuosha vyombo kakoso shauri ya kutokujua lugha ndio maana anapigea jua kwenye siasaKasha jifunza nchi zingine wanaishije. Exposure inasaidia kiakili ukiwa na akili timamu lakini.
Wewe ulie na heri pamoja na lema wenu ni Wakenya sio?Jenga hoja tulikwamue Taifa linakufa chini chama cha mapinduzi
Tuache uvyama Taifa linaangamia for sure!! Tuache mijadala miepesi jamaniWewe ulie na heri pamoja na lema wenu ni Wakenya sio?
Kama kuna kosa ambalo wapinzani walikosea ni kuruhusu vilaza kuwa wasemaji wao kama mzee LemaKachunge ng'ombe tu mzee mamb haya mmedandia sio level yenu!!
Tupe njia alizotumia lema hadi akawa tajiri,Tuanzie hapo kwanza,maana hadi sasa nashindwa pata majibu ya mwanasiasa anaponda siasa na wakati huo huo hana vyamzo vingine vya mapato nje ya siasa.Tuache uvyama Taifa linaangamia for sure!! Tuache mijadala miepesi jamani
Inawezekana ila sasa chama mbadala hakunaJenga hoja tulikwamue Taifa linakufa chini chama cha mapinduzi
Yaani mpaka sasa hujapata hata point moja kutoka katika ajenda za Lema, mwl wako alipata taabu Sana, najua pengine utkuwa mnufaika wa keki lakini tupunguze ulafi tuliponye Taifa, hivi unaweza kubadili uchumi wa nchi kwa kuwaacha vijana 70 % waki engage katika bodaboda!! Kwanza unaangamiza nguvu kazi mapema then unatengeneza uchumi wa kichuuzi usioweza kushindana popoteKama kuna kosa ambalo wapinzani walikosea ni kuruhusu vilaza kuwa wasemaji wao kama mzee Lema
Kaka Tusamehee! "Tumekosa Sisii, Tumekosa Sisii, Tumekosaa Sanaa"
Unajua maana ya kipato halali? Huyu ambae anaoinga boda boda atauonyeshe anafanya biashara gani nje ya siasa? Hivyo wale wavivu wa baharini kazi yao sio hatarishi?je wanaofanya migodini kazi zao sio hatarishi?je madaktari wa binadamu kazi zao si hatarishi?Yaani mpaka sasa hujapata hata point moja kutoka katika ajenda za Lema, mwl wako alipata taabu Sana, najua pengine utkuwa mnufaika wa keki lakini tupunguze ulafi tuliponye Taifa, hivi unaweza kubadili uchumi wa nchi kwa kuwaacha vijana 70 % waki engage katika bodaboda!! Kwanza unaangamiza nguvu kazi mapema then unatengeneza uchumi wa kichuuzi usioweza kushindana popote
Lema hajasema yeye ni tajiri,,,kasema kutaja dola 5000 anazolipwa mbunge wa tz kwamba ni hela nyingi inategemea uko katika jamii maskini kiasi gani kwa sababu usd 5000 ni malipo kwa wasiokuwa nakazi ulaya na marekani,,,,yeye ameenda uhamishoni kafanya kazi kapata kamtaji anataka awekeze angalau Dubai,,,tuwe wakweli Lema anaamsha bongo zetu zimelala Sana.Tupe njia alizotumia lema hadi akawa tajiri,Tuanzie hapo kwanza,maana hadi sasa nashindwa pata majibu ya mwanasiasa anaponda siasa na wakati huo huo hana vyamzo vingine vya mapato nje ya siasa.
Mjinga mwengine ndio wewe.Lema baada ya kukataliwa humu kwa uropokaji wake ameamua kila baada ya nusu saa kuleta uzi mpya .Haisaidii chochote ulisharopoka na umeonekana mtu wa ovyo kupita maelezo aisee. Hata hivyo sio vibaya tukajikumbusha yafuatayo toka kwa Lema:
View attachment 2556959
Kukutetea wewe usiyejua haki zako!?Lema alisema kuwa mbwa wa canada ana heshima na utu kuliko watanzania ,sasa huwa najiuliza kilichomrejesha nchi ni nini?