Nimempinga Godbless Lema ila sasa Natubu

Lema kaamsha wajinga mkuu ,matusi yake ka mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi muelewa lema .Ataeleweka kwa vilaza wenzake tu.
Hao waliomwelewa lema ndo wenye akili timamu.kama hujamwelewa jua wewe ni kilaza.
 
Point ya Lema ni moja tu kwamba WATANZANIA WANA UMASKINI WA KUTENGENEZEWA NA WATAWALA WAOVU,,,,,huwezi kuwaaminisha vijana eti bodaboda ndio hub ya kukuza uchumi wao na nchi kwa ujumla.
Mkuu boda boda vijana hufanya kwa hiari yao kama ambavyo vijana wengine hufanya shughuli zengine, wapo waliyopitia kuendesha boda boda na sasa wana shughuli zengine, sasa Lema alitaka vijana wa boda boda wafanye nini? Hapo ndio kwenye hoja.
 
Demokrasia haina faida kwa watu wenye akili ndogo.
 
Mkuu boda boda vijana hufanya kwa hiari yao kama ambavyo vijana wengine hufanya shughuli zengine, wapo waliyopitia kuendesha boda boda na sasa wana shughuli zengine, sasa Lema alitaka vijana wa boda boda wafanye nini? Hapo ndio kwenye hoja.
Kwahyo wale makahaba wanaojiuza nao kwa sababu wameamua kwa hiari yao tuseme ni kazi halali!? Lema hajasema wasifanye bodaboda bali anasema siyo kazi nzuri ya kufanywa na vijana wetu ambao Taifa linawategemea badala yake serikali ifungue fursa mashambani vijana wakalime au waajiriwe,fursa za kiutalii,viwanda nk hapo huwezi kuta mtu anakimbiza upepo
 
Kwa hiyo wewe ndiye huyo Lema, na hii uliyowasilisha hapa ndilo utatuzi wa swala la bodaboda?

Kama hii ndiyo mipango yako Lema, naona huna lolote la kuisaidia Tanzania. Hii nadharia itaanza kutimizwa lini na kukamilika lini?
 
Wee ni mjumbe wa kamati kuu ya Ccm alafu hujui utawasaidiaje vijana kuwa na ajira zinazowapa uhakika wa kuishi baada ya miaka kuwa na miaka 50!!! Aisee Kama viongozi ndo nyinyi msiothamini afya za vijana basi hii nchi ndio basi tena
Nilijua tu toka niliposoma bandiko lako huko mwanzo, kwamba hapa hakuna kitu.
 
Kuhusu afya nenda hospitali kajionee vituko katika korido za hospitali ambao mgonjwa anachukuliwa Kama mtu asiefaa, anatukanwa na manesi utadhani nguruwe pori.
Hapa umeongea ukweli na inasikitisha sana nchi yangu Tanzania wengi wanakufa kwa kukosa huduma za matibabu na km wewe ni masikini unaumwa huna pesa lazima ufe tu
 
Unajua tatizo unadharau Sana wewe mleta mada

Jua kuwa kidogodogo ndo uleta kikubwa hata hao walioendelea walianza na kidogo
 
Nyinyi mtaendelea lini!! Kwani waafrika tumeumbwa baadae baada ya mungu kuumba watu wengine!? Kama siyo! Kwanini tuko hivi na wao wako vile,,kwani Kuna shida gani ukikubali hatuna viongozi waliowekeza katika siasa za maendeleo badala yake wanatengeneza watu maskini Kama bodaboda,mama ntillie na tu Vikoba (circle ya umaskini) then wanachukua Kama sehemu ya kupatia kura( viongozi waovu)


Unajua tatizo unadharau Sana wewe mleta mada

Jua kuwa kidogodogo ndo uleta kikubwa hata hao walioendelea walianza na kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…