Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
 
Pole sana familia...

Mungu awatie nguvu...
 
Pole Sana ndugu kwa msiba mzito. Mzee wetu apumzike kwa Amani Mbinguni
 
Pole Sana Kwa Kumpoteza Mzazi

Mungu Akutie Nguvu Kwenye Nyakati Hizi

Tunawaombea Wote Sana Sana
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.
.
Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.
.
Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.
.
Asante Sana Wakuu Wangu
Pole sana Mkuu, nakutakia Nguvu katika kipindi hiki Kigumu
 
Back
Top Bottom