Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

Pole sana mkuu, Mungu awape nguvu na faraja kipindi hiki kigumu🙏
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana mkuu, matatizo ya dunia haya ila Mungu atakutia nguvu!
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana mkuu. Mungu awafariji wanafamilia wote
 
Pole sana ndugu yetu, Mungu mwenye rehema akawe mfariji wako kipindi hiki kigumu mnachopitia kama familia.
 
Pole kwa msiba wa baba, tunawaombea faraja ktk kipindi hiki kigumu.
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana mkuu hili nalo litapita
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana mwenzetu. RIP mzazi!
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
pole sana ndugu
 
Pole sana mkuu
 
Kansa ya ini inatokana na nini, pombe ?

Maana ini ndio linachakata kilevi

RIP
 
Back
Top Bottom