Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

Mungu wa Rehema amjalie Rehema na nuru ya milele.
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
pole sana.
 
Pole sana jamaa yng, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana kwa kumpoteza Baba, Mungu awatie nguvu kwenye kipindi hiki cha majonzi, pumnzika Baba yetu kipenzi
 
Pole sana, Mungu awape faraja.
Apumzike kwa amani!
 
Pole kwa msiba, mbele yake nyuma yetu, apumzike kwa amani na atuandalie makao amina.[emoji120]
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana,
Mungu akupe faraja yake ,wewe pamoja na familia nzima.

Apumzike kwa amani Baba.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana. Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe
 
Pole sana ndugu, Mwenyezi Mungu ampumzishe mzee wetu mahali pema peponi Amen.
 
Pole sana Mungu akawe Faraja kwenu
 
Pole ndugu, kaziya Mungu haina makosa.
Mungu ampe pumziko la milele mzee.
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Poleni sana mkuu..Mungu awape amani na utulivu
 
Pole sana nd
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana ndg
 
Pole sana mkuu, Mungu awajalie wepesi na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom