Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] pole sana.
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana mkuu, Mungu awape faraja.

1 Wathesalonike 4:13-18​

Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti. Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele. Basi, farijianeni kwa maneno hayo.
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana Mkuu. Mungu amuweke pema Baba yetu
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana ndugu, Mungu ampokee mzee na aipe familia mioyo imara, yenye mshikamano na yenye uvumilivu
 
Mkuu pole sana apumzike pema mzee wetu, sie wote ni wake na kwake tutarejea
 
Back
Top Bottom