Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana kwa kumpoteza Baba yako mzazi Mwenyezi Mungu awape faraja katika kipindi kigumu cha kumpoteza mzaziWakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi.
Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.
Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.
Asante sana Wakuu Wangu
Pole rafikiWakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi.
Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.
Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.
Asante sana Wakuu Wangu
Poleni sana! Apumzike Kwa Amani!Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi.
Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.
Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.
Asante sana Wakuu Wangu
I'm here you're kokoo, sasa tufanyeje mjukuu wangu, tu put his number and contribute au tufanye nini
Pole sana shemeji yetu, kazike sisi tutakuja kutoa rambirambiWakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi.
Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.
Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.
Asante sana Wakuu Wangu
POLE sana MUNGU Ampe PUMZIKO STAHIKIWakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi.
Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.
Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.
Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana ndugu yetu tupo pamojaWakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi.
Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.
Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.
Asante sana Wakuu Wangu