Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Polee sana mkuu
RIP Mzee wetu
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Inna lillahi wainna ilaihi rajiuni........

Pole Sana ndugu...!
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana kijana. I feel your pain
 
Pole sana Mkuu....
Mungu wa mbinguni na akawe faraja kwenu katika wakati huu mgumu..
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana kwa kumpoteza mzazi wako. Mungu akujalie wepesi katika hiki kipindi kigumu unachopitia.
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
RIP MZEE
 
Si mbali aliko baba yako, tutafika na sisi huko.
 
Pole sana mkuu ila siki nyingine tumia neno "ninasikitika kutangaza/kuwaambia........" Kama unatoa taarifa ya masikitiko.

Hiyo "napenda haijakaa poa kabisa mkuu, ina ukakasi kiasi.
 
Back
Top Bottom