Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

Pole sana Mkuu, Mungu awe faraja kwako na familia katika kipindi hiki...
 
Mkuu pole sana sana , japo mkurugenzi wa Jf kachelewa kukutumia pole ninajua atatuma soon
 
Poleni Sana..

MMungu amsameh ampumzishe kwa amani ...na familia awape faraja ..
 
Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.

Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.

Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.

Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana
 
Back
Top Bottom