Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Karibu Marangu mtoni, Kwa Rau, Tunamsubilia Kaka Yetu Yuko USA, Tunatarajia kuzika Juma5Daaah pole sana mkuu kesho nakuja huko Moshi
Pumziko La Amani Apate.
Pole sana mkuuWakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi...
Pole sana Mkuu, nakutakia Nguvu katika kipindi hiki KigumuWakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.
.
Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.
.
Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.
.
Asante Sana Wakuu Wangu