TANZIA Nimempoteza baba yangu mzazi

Pole sana mkuu!

Ila bado mi nakupinga hapo kwenye kupambana kutafuta kazi

Hapo ndipo wasomi wetu wengi mnapo fail,

Unahis utapambana mpaka mwaka gani?

Jiajir bro acha kupoteza muda, utakuja kukumbuka shuka kumeshakucha

Wasomi wa siku hz mnashida gan?
 
Pole sana, Mungu akutie nguvu.
 
Pole sana buda, uyatima mwisho miaka 18.... inuka pambana.
 
Hi jambo linauma sana, hakuna mfano wake wala neno lake la kuelezea machungu yake.

Mkuu, pole sana.
 
Pole sana, R.I.P Baba.
 
Pole sana mkuu.
Imempasa kupumzika maana kwake tumetoka na kwake tutarudi
 
Pole sana mkuu, Mungu awatie nguvu na faraja kipindi hiki kigumu na cha majonzi kwenu. Poleni sana.
 
Pole sana mkuu
R.i.P Classmate...😥
 
Roho ya marehemu Baba ipate pumziko la milele apumzike kwa amani Amina, pole sana ndugu ni kipindi kigumu sana ktk wakati huu, Mungu awe mfariji wenu mkuu ktk kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na Baba.
 
P Pole ndugu yangu, Mungu akupe faraja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…