NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Pole sana mkuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu!Nimempoteza baba yangu mzazi
Sijui hata nisemeje
Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22]
Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi
Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana, Mungu akutie nguvu.Nimempoteza baba yangu mzazi
Sijui hata nisemeje
Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22]
Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi
Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana, R.I.P Baba.Nimempoteza baba yangu mzazi
Sijui hata nisemeje
Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22]
Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi
Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana mkuu, Mungu awatie nguvu na faraja kipindi hiki kigumu na cha majonzi kwenu. Poleni sana.Nimempoteza baba yangu mzazi
Sijui hata nisemeje
Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22]
Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi
Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Roho ya marehemu Baba ipate pumziko la milele apumzike kwa amani Amina, pole sana ndugu ni kipindi kigumu sana ktk wakati huu, Mungu awe mfariji wenu mkuu ktk kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na Baba.Nimempoteza baba yangu mzazi
Sijui hata nisemeje
Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22]
Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi
Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole ndugu yangu, Mungu akupe faraja!Nimempoteza baba yangu mzazi
Sijui hata nisemeje
Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22]
Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi
Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Apumzike kwa amani
Mkuu jipe moyo, hauko pele yako aliyewahi kufiwa. Hata hivyo mkuu wewe katika umri wako huo, huna sifa tena kuitwa Yatima! Wewe ni mfiwa tu!Nimebaki yatima mimi![]()
![]()
![]()
![]()