TANZIA Nimempoteza baba yangu mzazi

TANZIA Nimempoteza baba yangu mzazi

Ww ngo'mbe kweli
Mm nlifiwa na mamangu nkiwa darasa la sita hata cjabalehe vizur
Nkiwa form 2 mshua nae akafa ndio kwanza naanza kupata wet dreams za kutosha
Ila maisha yalisonga tu kibabe kula ugali wa maziwa January to December fresh
Kukitokea sherehe au msiba mtaani mm na wadogo zangu ndio shule imeisha hivyo mpaka sharehe iishe au msiba waanue tanga
Ww komaa Tena ww mkubwa hivyo nlishakuwa nunda since nkiwa 12yrs
And you know what
Perish or victory no room for the weak person
 
Attachments

  • FB_IMG_1712599917212.jpg
    FB_IMG_1712599917212.jpg
    56.8 KB · Views: 2
Kwanza inabidi uelewe kifo kipo kwa kila kiumbe na kila mtu.

Hivyo usiwe na huzuni kupitiliza kwa hali ambayo huna namna ya kuzuia isitokee.

Be strong move forward, The world is not for the weak...
 
Nimempoteza baba yangu mzazi

Sijui hata nisemeje

Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22]

Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi

Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ipole Sana mkuu mm nimempoteza mzee Wangu nwaka 2011 cjamaliza chuo Bado alikuwa injinia mzuri sana
 
Pole...

Watu wanazaliwa, wanaishi, halafu wanarudi mavumbini...
Inabidi watu wajue hili.

Kifo kipo whether we like it or not.

Hivyo kikija wacha kije.

Watakao baki wataendelea ulipoishia.
 
Duniani tunapita mkuu, hajala mafanikio yako ya dunia lakin bado unayo nafasi ya kumuombea dua kila wasaa ili apate pumziko jema na hilo ndo litakuwa bora zaidi kwake.
 
Nimempoteza baba yangu mzazi

Sijui hata nisemeje

Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22]

Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi

Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana ndugu yangu, pole mno!
Pole nyingi kwenu , mwenyezi Mungu awalieni kuvumilia na wepesi katika hili.

Ajaliwe pumziko jema la milele.
 
Pole sana mkuu, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu,bila shaka utavuka salama
 
Be strong mkuu..thread kama hizi huwa sipendi kukutana nazo, zina niumiza sana yani.hapa ndo ujue binadamu huwa atuponi ila tuna sahau tu .sasa ikitokea ume kumbushwa dah
 
Pole sana mkuu! Mungu akutie nguvu wewe na familia yako, faraja ya pekee ikatawale katika kipindi hiki kigumu.
 
Nimempoteza baba yangu mzazi

Sijui hata nisemeje

Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22]

Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi

Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Unaelewa maana ya yatima?
 
Haya maisha ni fumbo! Wazazi wote wawili kuondoka nyumbani ni kiza, furaha hutoweka, kiranja hupotea, kimia hutawala, uonevu huchukua nafasi yake , utaziona rangi halisi za ndugu hakina Mungu wajaalie wazazi wetu umri mrefu.
Wape nguvu wale woote walioachwa na Wazazi wao kuyashinda majaribu ya Dunia. Ameeen
 
Pole sana mkuu ni njia yetu sote hii leo yeye kesho sisi tujitahidini kufanya mema na kuwacha mabaya.
 
Nimempoteza baba yangu mzazi

Sijui hata nisemeje

Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22]

Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi

Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole kaka pole Sana mwenyezi Mungu awapiganie KWENYE hiki kipindi kigumu mnacho pitia..

Msiba upo wap atapendeza ukisema maana unaweza pata watu Wa kuku comfort

Baba apumzike kwa amani tunapata faraja kupitia UFUNUO 14:13
 
Back
Top Bottom