Nimemsamehe alivyonisaliti ila bado naumia nikikumbuka

Nimemsamehe alivyonisaliti ila bado naumia nikikumbuka

Hakupendi ndiyo maana kakusaliti, sisi wanawake mpaka tuamue kusaliti jua mapenzi kwako yashaisha.

Halafu nikuambie, ni lazima atasaliti tena na mpaka umemfuma

Hakupendi ndiyo maana kakusaliti, sisi wanawake mpaka tuamue kusaliti jua mapenzi kwako yashaisha.

Halafu nikuambie, ni lazima atasaliti tena na mpaka umemfuma jua keshakusaliti saaana.
Sasa inamaana nimuache sasaiv?? But nlishamsamehe tukaendlea na mahusiano almost 3months sasa,
 
Utoto raha sana. Eti ananipenda?!
1. Kwa mwanamke,kuna maigizo hakuna mapenzi. Sahau.
2. Inaonekana,ulichofata ndo hicho hicho wengine wanachopelekewa. Kila siku mnaambiwa kwanza mjue kiwanja sio mali ya umma,hamuelewi.
3. Eti unampenda sana. Kwa lipi? Mwanaume anatamani tu hapendi.
4. Eti nashindwa kusahau,na siwezi kumuacha.Subili yeye atakuacha,maana anaweza. Hicho ni kirusi,na kila ukikiwaza,unakonda. Hapo hapo unaposononeka,yeye hapo hapo anawaza anavyokunwa na huyo anayemkaza.
5. Upumbavu huo,ulikufanya ukashindwa hata kumuuliza kilichomfanya akusaliti. Hicho hicho ulichoogopa kuuliza,kitakuwepo mpaka mnaachana au wewe unakufa(kwa staili hiyo,wewe utatangulia).

6. Katika makosa yasiyosameheka, na kucheat ni namba moja. Lia lia kama mtoto,uliyataka mwenyewe. Laiti ungelijua umemkuta mtu mzima na starehe zake.
7. Andaa kabisa sumu ya panya,maana inaonekana wewe ni wale wa kuuliza eti sitompata kama yeye. Kwa nini utafute kama yeye,wakati unajua mshenzi?
 
Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.

Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
Ungepambana na maumivu mwishowe ungepata mwingine na ungesahau hayo maumivu but the fact umemrudisha kila siku upo nae hicho kidonda hakitapona kwa mwanaume ni ngumu sana aisee mwache asepe utamsahau tu japo ni ngumu kwanza kama alikucheat huuo lazima atakupiga show tena utafurahi. Believe me
 
Ungepambana na maumivu mwishowe ungepata mwingine na ungesahau hayo maumivu but the fact umemrudisha kila siku upo nae hicho kidonda hakitapona kwa mwanaume ni ngumu sana aisee mwache asepe utamsahau tu japo ni ngumu kwanza kama alikucheat huuo lazima atakupiga show tena utafurahi. Believe m

Ungepambana na maumivu mwishowe ungepata mwingine na ungesahau hayo maumivu but the fact umemrudisha kila siku upo nae hicho kidonda hakitapona kwa mwanaume ni ngumu sana aisee mwache asepe utamsahau tu japo ni ngumu kwanza kama alikucheat huuo lazima atakupiga show tena utafurahi. Believe me
Aseeee 🤔🤔🤔
 
Mwambie akugee tunda la uzima wa milele, tunda la ujuzi wa mema na mabaya ameshakupa haya kusahau machungu muombe akupe GOTI akikugomea jua uliemfuma nae anamla GOTI bado
Yani kwanza akishamla GOTI ndio atamdharau kabisa sababu demu mchafu amezingua. Huyu hajui kwamba mwanamke anasamehewaga kila kitu ila sio akicheat sababu it takes emotions kwa mwanamke mpaka kumvulia nguo na kuachia tupu yake igaragazwe na kumwagiwa na mwanaume mwingine. Huyu amejitengenezea kidonda bila sababu wakati angeachana na huyo manzi akakaa muda angemsahau na angepata muda wa kula pisi nyingine kama zote tu.
 
Ndio amuombe GOTI akigoma tu ajiondoe kwenye hio msululu hakuna Mwanamke hapo atanyimwa anaenda kupelekewa Shaban anakula anamega yeye anauguza madonda ndugu tu
 
Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.

Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
Utasahau maumivu once ukimuacha lasivyo utaendelea kuumia mwishowe umfanyie kitu kibaya
 
Back
Top Bottom