Utoto raha sana. Eti ananipenda?!
1. Kwa mwanamke,kuna maigizo hakuna mapenzi. Sahau.
2. Inaonekana,ulichofata ndo hicho hicho wengine wanachopelekewa. Kila siku mnaambiwa kwanza mjue kiwanja sio mali ya umma,hamuelewi.
3. Eti unampenda sana. Kwa lipi? Mwanaume anatamani tu hapendi.
4. Eti nashindwa kusahau,na siwezi kumuacha.Subili yeye atakuacha,maana anaweza. Hicho ni kirusi,na kila ukikiwaza,unakonda. Hapo hapo unaposononeka,yeye hapo hapo anawaza anavyokunwa na huyo anayemkaza.
5. Upumbavu huo,ulikufanya ukashindwa hata kumuuliza kilichomfanya akusaliti. Hicho hicho ulichoogopa kuuliza,kitakuwepo mpaka mnaachana au wewe unakufa(kwa staili hiyo,wewe utatangulia).
6. Katika makosa yasiyosameheka, na kucheat ni namba moja. Lia lia kama mtoto,uliyataka mwenyewe. Laiti ungelijua umemkuta mtu mzima na starehe zake.
7. Andaa kabisa sumu ya panya,maana inaonekana wewe ni wale wa kuuliza eti sitompata kama yeye. Kwa nini utafute kama yeye,wakati unajua mshenzi?