Adam Clark
Member
- Oct 7, 2023
- 31
- 80
Hakupendi ndiyo maana kakusaliti, sisi wanawake mpaka tuamue kusaliti jua mapenzi kwako yashaisha.
Halafu nikuambie, ni lazima atasaliti tena na mpaka umemfuma
Sasa inamaana nimuache sasaiv?? But nlishamsamehe tukaendlea na mahusiano almost 3months sasa,Hakupendi ndiyo maana kakusaliti, sisi wanawake mpaka tuamue kusaliti jua mapenzi kwako yashaisha.
Halafu nikuambie, ni lazima atasaliti tena na mpaka umemfuma jua keshakusaliti saaana.
Mimi sijasema umuache…nimeelezea ninachokijua yaani unatujua wanawake kwa siri? Umemkamata jua ushapigiwa saaana ila vumilia tu ndiyo ukubwaSasa inamaana nimuache sasaiv?? But nlishamsamehe tukaendlea na mahusiano almost 3months sasa,
Hahahaha si yeye keshasema hawezi kumuacha?Mimi sijasema umuache…nimeelezea ninachokijua yaani unatujua wanawake kwa siri? Umemkamata jua ushapigiwa saaana ila vumilia tu ndiyo ukubwa
Ungepambana na maumivu mwishowe ungepata mwingine na ungesahau hayo maumivu but the fact umemrudisha kila siku upo nae hicho kidonda hakitapona kwa mwanaume ni ngumu sana aisee mwache asepe utamsahau tu japo ni ngumu kwanza kama alikucheat huuo lazima atakupiga show tena utafurahi. Believe meHuyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.
Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
Ungepambana na maumivu mwishowe ungepata mwingine na ungesahau hayo maumivu but the fact umemrudisha kila siku upo nae hicho kidonda hakitapona kwa mwanaume ni ngumu sana aisee mwache asepe utamsahau tu japo ni ngumu kwanza kama alikucheat huuo lazima atakupiga show tena utafurahi. Believe m
Aseeee 🤔🤔🤔Ungepambana na maumivu mwishowe ungepata mwingine na ungesahau hayo maumivu but the fact umemrudisha kila siku upo nae hicho kidonda hakitapona kwa mwanaume ni ngumu sana aisee mwache asepe utamsahau tu japo ni ngumu kwanza kama alikucheat huuo lazima atakupiga show tena utafurahi. Believe me
Mwambie akugee tunda la uzima wa milele, tunda la ujuzi wa mema na mabaya ameshakupa haya kusahau machungu muombe akupe GOTI akikugomea jua uliemfuma nae anamla GOTI badoIla siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
GOTI ndo nini kakaMwambie akugee tunda la uzima wa milele, tunda la ujuzi wa mema na mabaya ameshakupa haya kusahau machungu muombe akupe GOTI akikugomea jua uliemfuma nae anamla GOTI bado
Yani kwanza akishamla GOTI ndio atamdharau kabisa sababu demu mchafu amezingua. Huyu hajui kwamba mwanamke anasamehewaga kila kitu ila sio akicheat sababu it takes emotions kwa mwanamke mpaka kumvulia nguo na kuachia tupu yake igaragazwe na kumwagiwa na mwanaume mwingine. Huyu amejitengenezea kidonda bila sababu wakati angeachana na huyo manzi akakaa muda angemsahau na angepata muda wa kula pisi nyingine kama zote tu.Mwambie akugee tunda la uzima wa milele, tunda la ujuzi wa mema na mabaya ameshakupa haya kusahau machungu muombe akupe GOTI akikugomea jua uliemfuma nae anamla GOTI bado
Kitundu huzuni 😂👌GOTI ndo nini kaka
Wewe mwambie hivyo nataka unipe GOTI kisha mwangalie usoniGOTI ndo nini kaka
We jamaa baradhuli sana. 😂😂😂Wewe mwambie hivyo nataka unipe GOTI kisha mwangalie usoni
Ndio amuombe GOTI akigoma tu ajiondoe kwenye hio msululu hakuna Mwanamke hapo atanyimwa anaenda kupelekewa Shaban anakula anamega yeye anauguza madonda ndugu tuYani kwanza akishamla GOTI ndio atamdharau kabisa sababu demu mchafu amezingua. Huyu hajui kwamba mwanamke anasamehewaga kila kitu ila sio akicheat sababu it takes emotions kwa mwanamke mpaka kumvulia nguo na kuachia tupu yake igaragazwe na kumwagiwa na mwanaume mwingine. Huyu amejitengenezea kidonda bila sababu wakati angeachana na huyo manzi akakaa muda angemsahau na angepata muda wa kula pisi nyingine kama zote tu.
Na bado anaendelea kumsaliti kisirisiri in short huyo mwanamke hajatuliaMimi sijasema umuache…nimeelezea ninachokijua yaani unatujua wanawake kwa siri? Umemkamata jua ushapigiwa saaana ila vumilia tu ndiyo ukubwa
Kabadilisha herufiGOTI ndo nini kaka
Wewe nikikuomba umenicheat utatoa?Kabadilisha herufi
Utasahau maumivu once ukimuacha lasivyo utaendelea kuumia mwishowe umfanyie kitu kibayaHuyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.
Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?