Nimemsamehe alivyonisaliti ila bado naumia nikikumbuka

Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.

Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
Sasa wewe mwanawane kwa nini hukuomba threesome na huyo jamaa na demu wako ndio kisha umsamee
 
Mkuu kuchapiwa ni Siri ya ndani sahau kabisa kama utakuwa na mwanamke wa peke yako nazani hata bikira hukumkuta nayo sasa hayo ni mambo ya kawaida kabisa
Ukweli mtupu. Kugegedea demu au mke ni vitu simple tuu wala sio vya kumind. Kwanza demu wakugegeda mwenyewe hana ladha na sio mtamu
 
Wanawake huwa hawapendi wanaume(Kabisa) the only love how we make them feel...so hizo hisia zinazofanya awe nawewe zikipotea ndio usaliti,drama,kununiwa..

Wewe mnunulie iPhone 16,atagongwa na mtu kisa kamuwekea MB za wiki

Mnunulie Gari,atapigwa na fundi maiko kisa anamsaidia kubadili oil bure

So mwanamke yupo loyal na hisia zake tu..

sio kwamba anaekupenda ila muda ambao upo nae na anakuonesha upendo,ndio hisia zake kwa muda huo zipo hivyo(wakati wako)..

She was never really yours, it was just your turn
 
Ni kweli, inakuwaga Kama series yaani.....
 
Duh aseeeh, watu hamna huruma kwakweli
 
Umeongea point sana kiongozi
 
Hao wanaokushauri ujasiri wa kumove on nao mademu zao wanachapiwa sema tu hawajui maskini......

Kuchapiwa hakunaga formula.............
 
Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.

Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
Usaliti hauna "bahati mbaya",,,anapangwa anaenda lodge anavua ngua anakazwa bado hapo bahati mbaya tu?
We msamehe ila alisaliti kwa kukusudia.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.

Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
Tumia akili, usitumie hisia, yaani amekusaliti bado umekaza fuvu et nampenda utalea watoto sio wako uishie kujinyonga acha ujinga, halafu kwenye vikao uwe unahudhuria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…