Nimemsamehe kwa dhati Rafiki yangu licha ya kutembea na mchumba wangu.

Hivi nani mwingine akisoma Uzi huku anakimbilia kuangalia ID ya mtu na join date ya huyo member ili aunganishe nitukio la kweli au chai?
Mkuu basi nimecheka tuu ulivyomsamehe baada ya kisasi.[emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Nadharia hi inaweza elezea kidogo concern yako

" humu jf japo tunatumia ID bandia ila over time ID hizi zinatengeneza personality yetu....... Hivyo watu/member wa muda mrefu huogopa kulete nyuzi/mada flani ambazo zinawagusa/emotional Sana hivyo huandikisha ID mpya, ndio maaana unawezaona ID mpya ila mtu anavyoleta mada/uzi inaonyesha KABISA huyo ni mzoefu jf"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure! Kweli kabisa.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
ID ya matukio hii
Amejoin 2015 hadi sasa hajafikisha hata messeges 50
Hahahha halafu anayo ya kawaida eeh[emoji23][emoji23].
Hivi mbona watu hawataki kuharibu brand zao za I'd zao za kawaida.[emoji23][emoji23].
Mfano Mimi piga UA japo ninatumia fake I'd na sijulikani na watu huku siwezi leta pumba aisee. Naogopa sana.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Wewe ulimpataje wenzako washindwe kumpata. Kama wameweza kufanya uasherati na wewe kwanini asifanye na wengine?

حجة faiza ، أعطني ابنتك أنا سوف يعاملها كما quen ولعب swala tano.i وعد سأكون زوجا جيدا
 
Kwa iyo mkuu uyo shemeji si bado unamla kama kawaida ila nimeamini dawa ya moto ni moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure! Kweli kabisa.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Jf Ni jamii na watu/members wanafahiana japo Ni kwa hizihizi fake ID, lakini zinauharisia/personality Fulani ya muhusika kwa members wa muda mrefu

Mfano; Mshana Jr, Cute b, Faiza foxy, laiza bon, Nyani Ngabu na etc ID zote hizi zina personality flani hizi hata mchango/comments yao, au nyuzi zao, mitazamo yao kisiasa inajulikana humu(japo hatuwajui)....

"So sometimes people go undercover within undercover"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ya cute b ina uhalisia mkuu au ni mfano tuu[emoji6].

Lakini vipi huoni hiyo inashawishi kila mtu kuwa na fekero[emoji23][emoji23]?

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Umeona eeeeeh ndo hivyo sasa,yaaaani ID yako ishakuwa n kaupersonality flani HIVI.......
so siku ukitaka kulete mkorogo unaandikisha ID ingne japo hata hii ya cute b Ni fake hatukujui kiuharisia mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
d


duh... mamame kweli unakula bumunda la rafiki
Huyu jamaa alinifanyaga ni kila kijiko kimoja nijihisi nimeshiba, nikilala nisipate usingizi,hata kuangalia mechi ya chama langu pendwa la arsenal nikawa nashindwa, tena ashukuru namlia kimya kimya sijataka ye ajue labda kitachokuja kumponza na choko choko zakutaka kuanzia Ku mtrace mke wake
 
Umeona eeeeeh ndo hivyo sasa,yaaaani ID yako ishakuwa n kaupersonality flani HIVI.......
so siku ukitaka kulete mkorogo unaandikisha ID ingne japo hata hii ya cute b Ni fake hatukujui kiuharisia mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siwezi chafua ID yangu kizembe. Na nikileta kitu ni kweli siyo chai.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Kwa iyo mkuu uyo shemeji si bado unamla kama kawaida ila nimeamini dawa ya moto ni moto

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mkewe wa ndoa atagongwa maisha yatupasa kutenda wema maana kila ulitendalo na wewe litakurudia ukitenda mema utavuna mema, kisasi ni kibaya na hurudi Mara nyingi,ndo ile huitwa karma,sasa ngoja aje awekewe mtego wamfanyie mbaya sehemu za siri hazikomoleki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😅😅
Yani inashangaza sana tunatumia ID na majina fake hakuna anayetujua ila mtu unashindwa kuleta mada za ajabu
 
Ni kweli kwenye maisha yatupasa kusamehe hapo waitane kila mtu aeleze ya moyoni akili makosa yake maisha yaendelee mana ukila cha mtu nawe chako kitaliwa sema kuna kitu nimejifunza hutakiwi kutema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa uyu ni mdada alikuwa na mtu wake anampenda sana akaona amsaliti matokeo yake jamaa kampiga chini kwa sasa ni single mom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…