voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
[emoji871]Makamba analeta uswahili kwenye shoti ya Umeme?
[emoji871]Hii wizara haijawahi kumuacha salama waziri yeyote mpigaji.
[emoji871]Kumbukumbu inanikumbusha waziri Msabaha na waziri Ngeleja kwa madudu ya utawala ule wa JK.
[emoji871]Ni suala la muda tu,team Msoga wataumbuka
[emoji871]Kama walivyoanza kuumbuka kule GSM!