Nimemsikia Makamba akijaribu kutisha wabunge kwa kutumia jina la 'Rais Samia' badala ya kueleza udhaifu wake

[emoji871]Makamba analeta uswahili kwenye shoti ya Umeme?

[emoji871]Hii wizara haijawahi kumuacha salama waziri yeyote mpigaji.

[emoji871]Kumbukumbu inanikumbusha waziri Msabaha na waziri Ngeleja kwa madudu ya utawala ule wa JK.

[emoji871]Ni suala la muda tu,team Msoga wataumbuka

[emoji871]Kama walivyoanza kuumbuka kule GSM!
 
Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna aliyemshambulia rais Samia. Januari anaanza kueleza underperfomance ya wizara anayoiongoza.

TANESCO iko chini yake, sababu anazotaja za waya zilizo uchi, vikombe vilivyopasuka au kVA 11 na 33 hayo ni yake na TANESCO, hakuna anayewasaidia au aliyewasaidia kuzifunga nyaya hizo. Kama ni makosa ni yao na sisi hayatuhusu. Huo ndo udhaifu wa TANESCO yake au watu wa TANESCO na waiziri wao.

Swali kwake Januari; Rais Samia ameingiaje hapo? Au ni mbinu ya kujilinda udhaifu wake usisemwe? Au ni kutuonesha kwamba yeye na rais Samia ni mwili mmoja? Anapohitaji miaka minne kama Kalemani, nini faida ya kumuondoa Kalemani na yeye aje kuomba miaka 4?

Hisia yangi ni kwamba hatfika kokote hata akariri majina ya vifaa vyote vya Tanesco na Hydro ya Nyerere ijayo, wizara hii apewe mwenye uwezo.
Ccm haijawahi kuwajali wananchi zaidi ya kujali matumbo yao.

Ccm lazima iondoshwe kabisa ndiyo Tanzania itapiga hatua kimaendeleo.
 
Anatuomba sisi,Bunge,Au aliemteua hiyo miaka minne ? Jamaa hopeless kabisa 😂
 
Yaani wewe unajua kuliko mamlaka iliyompa huo uteuzi?
Makamba sio mfanya miujiza.Hawezi kutatua tatizo lilishindikana kutatuliwa kwa miaka zaidi ya 19 kwa muda wa miezi 4.
Apewe muda ambao ni realistic kuweza kutatua tatizo hili kitaalamu na sio kisiasa kama walivyofanya waliopita.
Ameanza kusema ukweli na kusema mambo ambayo hatukuzoea kuyasikia. Tulizoea longolongo na populist rhetoric.
Muda upi.uwezo mdogo mnabebana bebana tu.
 
Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna aliyemshambulia rais Samia. Januari anaanza kueleza underperfomance ya wizara anayoiongoza.

TANESCO iko chini yake, sababu anazotaja za waya zilizo uchi, vikombe vilivyopasuka au kVA 11 na 33 hayo ni yake na TANESCO, hakuna anayewasaidia au aliyewasaidia kuzifunga nyaya hizo. Kama ni makosa ni yao na sisi hayatuhusu. Huo ndo udhaifu wa TANESCO yake au watu wa TANESCO na waiziri wao.

Swali kwake Januari; Rais Samia ameingiaje hapo? Au ni mbinu ya kujilinda udhaifu wake usisemwe? Au ni kutuonesha kwamba yeye na rais Samia ni mwili mmoja? Anapohitaji miaka minne kama Kalemani, nini faida ya kumuondoa Kalemani na yeye aje kuomba miaka 4?

Hisia yangi ni kwamba hatfika kokote hata akariri majina ya vifaa vyote vya Tanesco na Hydro ya Nyerere ijayo, wizara hii apewe mwenye uwezo.

alichokuwa anaeleza ni kwamba kuna madeal ya kusupply vifaa tanesco. Hakuna kitu kingine. Huyu ni front ya mafisadi na wafanyabiashara tu
 
Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna aliyemshambulia rais Samia. Januari anaanza kueleza underperfomance ya wizara anayoiongoza.

TANESCO iko chini yake, sababu anazotaja za waya zilizo uchi, vikombe vilivyopasuka au kVA 11 na 33 hayo ni yake na TANESCO, hakuna anayewasaidia au aliyewasaidia kuzifunga nyaya hizo. Kama ni makosa ni yao na sisi hayatuhusu. Huo ndo udhaifu wa TANESCO yake au watu wa TANESCO na waiziri wao.

Swali kwake Januari; Rais Samia ameingiaje hapo? Au ni mbinu ya kujilinda udhaifu wake usisemwe? Au ni kutuonesha kwamba yeye na rais Samia ni mwili mmoja? Anapohitaji miaka minne kama Kalemani, nini faida ya kumuondoa Kalemani na yeye aje kuomba miaka 4?

Hisia yangi ni kwamba hatfika kokote hata akariri majina ya vifaa vyote vya Tanesco na Hydro ya Nyerere ijayo, wizara hii apewe mwenye uwezo.
Mbona kwenye pesa wanasema za Samia na pia wanamshukuru na watu wote tunakubali .... Kwa huu mtindo waliotujengea wa kusifiasifia viongozi, mimi naona kwenye mabaya au pale mambo yanapoharibika lazima pia abebeshwe ZIGO ...!!
 
Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna aliyemshambulia rais Samia. Januari anaanza kueleza underperfomance ya wizara anayoiongoza.

TANESCO iko chini yake, sababu anazotaja za waya zilizo uchi, vikombe vilivyopasuka au kVA 11 na 33 hayo ni yake na TANESCO, hakuna anayewasaidia au aliyewasaidia kuzifunga nyaya hizo. Kama ni makosa ni yao na sisi hayatuhusu. Huo ndo udhaifu wa TANESCO yake au watu wa TANESCO na waiziri wao.

Swali kwake Januari; Rais Samia ameingiaje hapo? Au ni mbinu ya kujilinda udhaifu wake usisemwe? Au ni kutuonesha kwamba yeye na rais Samia ni mwili mmoja? Anapohitaji miaka minne kama Kalemani, nini faida ya kumuondoa Kalemani na yeye aje kuomba miaka 4?

Hisia yangi ni kwamba hatfika kokote hata akariri majina ya vifaa vyote vya Tanesco na Hydro ya Nyerere ijayo, wizara hii apewe mwenye uwezo.
Wewe kwa Akili yako unaona ni Nani aliye mzuri Kati yao Kati ya Magufuli aliye iacha nchi gizani huku akiwambia ninyi mazuzu mpo uchumi wa kati na ni donor country, au aliyekuwa masaidizi wa Magufuli wakati huo amabaye amemteua Makamba kuwa waziri?
 
Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna aliyemshambulia rais Samia. Januari anaanza kueleza underperfomance ya wizara anayoiongoza.

TANESCO iko chini yake, sababu anazotaja za waya zilizo uchi, vikombe vilivyopasuka au kVA 11 na 33 hayo ni yake na TANESCO, hakuna anayewasaidia au aliyewasaidia kuzifunga nyaya hizo. Kama ni makosa ni yao na sisi hayatuhusu. Huo ndo udhaifu wa TANESCO yake au watu wa TANESCO na waiziri wao.

Swali kwake Januari; Rais Samia ameingiaje hapo? Au ni mbinu ya kujilinda udhaifu wake usisemwe? Au ni kutuonesha kwamba yeye na rais Samia ni mwili mmoja? Anapohitaji miaka minne kama Kalemani, nini faida ya kumuondoa Kalemani na yeye aje kuomba miaka 4?

Hisia yangi ni kwamba hatfika kokote hata akariri majina ya vifaa vyote vya Tanesco na Hydro ya Nyerere ijayo, wizara hii apewe mwenye uwezo.
Malope ni mwepesi sana, badala astick kwenye majibu ya maswali alioyatengeneza yeye mwenyewe kwa utetezi wake why umeme unakatika katika

Yeye anaanza kujitetea eti tatizo ni Waziri na Rais basi wapewe muda kama waliowatangulia si ni wehu huo?

Bure kabisa!
 
Wakati mwingine huwa najiuliza ni kwwanini Bunge lisinge kuwa linaagiza Mhandisi Mkuu wa sehemu husika kuja kutoa maelezo badala ya kusikilisa majibu ya wanasiasa?
Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna aliyemshambulia rais Samia. Januari anaanza kueleza underperfomance ya wizara anayoiongoza.

TANESCO iko chini yake, sababu anazotaja za waya zilizo uchi, vikombe vilivyopasuka au kVA 11 na 33 hayo ni yake na TANESCO, hakuna anayewasaidia au aliyewasaidia kuzifunga nyaya hizo. Kama ni makosa ni yao na sisi hayatuhusu. Huo ndo udhaifu wa TANESCO yake au watu wa TANESCO na waiziri wao.

Swali kwake Januari; Rais Samia ameingiaje hapo? Au ni mbinu ya kujilinda udhaifu wake usisemwe? Au ni kutuonesha kwamba yeye na rais Samia ni mwili mmoja? Anapohitaji miaka minne kama Kalemani, nini faida ya kumuondoa Kalemani na yeye aje kuomba miaka 4?

Hisia yangi ni kwamba hatfika kokote hata akariri majina ya vifaa vyote vya Tanesco na Hydro ya Nyerere ijayo, wizara hii apewe mwenye uwezo.
h
 
Walisemaga siku nyingi january hana uwezo anabebwa kwa mbeleko na jk. Mtu unatoka na degree yako usa unapewa kazi ikulu bila uzoefu wowote. Huku nyuma habari uliwahi iba mitihani ukafutiwa matokeo😂,. Halafu unapenda upigaji na ukuu kwa kutamani urais😂. Eti anatolewa Phd holder anawekwa mwenye historia ya kuiba mtihani. Tanesco kapanga line ya wapigaji watupu. Tunasubiri tumeanza ona game lao wanavyoanza.
 
Huyu kipara ni mweupe tu kichwani.

Ndio matokeo ya kuwapa uongozi kwa favour.

Huyu ameishi viunga vya ikulu since 2007 sasa ndio wanainuana tu hata kama huna uwezo.
 
mnamuandamana sana huyu kijana, kutakuwa na shida sio bure kwakweli...
 
Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna aliyemshambulia rais Samia. Januari anaanza kueleza underperfomance ya wizara anayoiongoza.

TANESCO iko chini yake, sababu anazotaja za waya zilizo uchi, vikombe vilivyopasuka au kVA 11 na 33 hayo ni yake na TANESCO, hakuna anayewasaidia au aliyewasaidia kuzifunga nyaya hizo. Kama ni makosa ni yao na sisi hayatuhusu. Huo ndo udhaifu wa TANESCO yake au watu wa TANESCO na waiziri wao.

Swali kwake Januari; Rais Samia ameingiaje hapo? Au ni mbinu ya kujilinda udhaifu wake usisemwe? Au ni kutuonesha kwamba yeye na rais Samia ni mwili mmoja? Anapohitaji miaka minne kama Kalemani, nini faida ya kumuondoa Kalemani na yeye aje kuomba miaka 4?

Hisia yangi ni kwamba hatfika kokote hata akariri majina ya vifaa vyote vya Tanesco na Hydro ya Nyerere ijayo, wizara hii apewe mwenye uwezo.
Upo sahihi jamaa ana defense mechanism in name of chf hangaya asee kumbe kwel jama anapwaya sana nmeamini
 
Ukiona waziri anaulizwa swali yeye anajificha kwenye mgongo wa Rais ujue Huyo waziri hana AKILI hata kidogo.
 
Back
Top Bottom