Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Wagalatia kwanini munateseka na Uislmau? Kwani mumelazimishwa nyinyi kuoza mabintu wenu wakiwa na 15? Waachane wanaotaka wafanye, na acheni kuteseka na Imani za watu.
Imani za watu za kuoa watoto wa miaka 6 kama Mudi?
 
Na kwa hili wazungu wapo sahihi. Hata waarabu wa Saudi Arabia wamewafuata wazungu...mmebaki nyie waarabu wa ikwiriri tu

Sio kwahilo tu, Hata Ushoga pia wapo sahihi nalo sapotini tu, kwanini munasitasita?
 
Haya endeleeni kuozesha watoto wenu wa miaka 14
Ila madhila yanayowapata wengine wanajuta kuzaliwa na wengine wanakimbia ndoa na kuishia kusitirika kwa hao mnaowaita mapagani. Sasa sijui hekima ya Mungu ndani yenu ilienda wapi

lakini watoto wenu wanapochezewa na maboda boda ni sahihi as long a hajamuoa au sio?
 
Sipendagi haya majadiliano ya kidini na watu wa Imani Tofauti na ya kwangu lakini hapa naomba nikusaidie kwenye Hii Yeremia 8:8

Andiko hili halimaanishi kwamba sijui Sheria au Maandiko ya Mungu yamechakachuliwa au kuwa mtafiti kwanza kabla ya kujiandikia Get it well in the King James version

“How do ye say, We are wise, and the law of the LORD is with us? Lo, certainly in vain made he it; the pen of the scribes is in vain.”
— Jeremiah 8:8 (KJV)

ili kujua andiko Lina maana Gani lazima ujifunze kutembelea Baadhi ya Commentary na different version
 
Mohamad alimuoa aisha akiwa na miaka 6 na akalala naye akiwa na miaka 9.

Ni mambo ya aibu, ila Huo ndio ukweli wa vitabu vyenu mlivyoandika wenyewe.

Usipingane na ukweli mliouandika wenyewe.

Ndugu Amanitwin usiwe na jazba katika masuala usiyofahamu nakupa hoja hapa kulitetea hili na naomba pia waislamu wengine walifanyie utafiti watapata majibu sahihi INSHAALLAH

1:aisha kabla ya kuolewa na mtume alikuwa amechumbiwa na kijana wa familia ingine ambayo hyo familia haikuwa familia ya kiislamu na sababu ya kumkatalia kijana wao asimuoe aisha walisema "aisha alikuwa na misimamo mikali ya dini hivyo angemshawishi kijana wao abadili dini awe muislamu na wao hawakuwa tayari kijana wao awe muislamu" sasa nikuulize swali mtoto wa miaka 6 anapata vipi misimamo ya kuweza kumshawishi kijana kufata imani yake?? Baada ya hizi familia mbili kushindwana hilo suala la imani mtume kwa mara ya pili alipoenda kuulizia tena akaambiwa uchumba wa aisha na yule kijana umeshindwa kuendelea hivyo nafasi hyo ipo wazi,hii inaonesha kuwa binti hakuwa mtoto kwa kuwa hata jamii ya watu wengine walishaanza kupeleka maombi ya kumuoa

2:miaka 2 kabla ya kuolewa na mtume aisha alikuwa na dada yake aitwaye asma alikuwa akimsaidia masuala ya uzazi kipindi asma amejifungua mtoto na asma alikuwa na miaka kati ya 25 na 27 na alikuwa kamzidi mdogo mtu miaka 10(means aisha was 15 or 16)

3:aisha alikuwa mcheza mieleka mzuri tu na mara nyingi wakati akicheza mieleka na mtume ,aisha alimuangusha mtume mara nyingi mno kuliko mtume alivomuangusha aisha(mtoto wa miaka 6 anaweza kumuangusha mtu mzima katika mieleka??

4: pia inasemekana (japo hii sina uhakika nalo sana) kwamba zamani miaka mingi nyuma watu walikuwa wakihesabu umri wa binti baada tu ya binti husika kuvunja ungo,yaani kwa kifupi binti akikaa miaka 12 hajavunja ungo anahesabiwa ana miaka 0 akifikisha mwaka wa 13 akavunja ungo ndiyo anaanza kuhesabiwa kuwa na umri wa mwaka 1 lakin kiuhalisia anakuwa na miaka13( hili ninaendelea kulifanyia utafiti kwenye vitabu mbali mbali ) ndo maana ukichunguza vizuri katika biblia unagundua hata rebeka aliolewa na isack akiwa na miaka 3 (fatilia scholar wa biblia watakuambia) ila vile vile bikra maria pia aliolewa akiwa na kati ya miaka 14 na 16 hilo pia muulize mchungaji wako atakupa maandiko kama anaisoma biblia na kuielewa

Najaribu kutuma video clip hapa ikikubali uiskilize lakin pia next time nitakuja na reference kabisa kurejea niliyoyaandika.asante na karibu kwa hoja zaidi
 
Unaongea hadithi za kufikirika tu.
Unajaribu kubalance story za kuokoteza za Maria na Rebeka ambazo HAZIPO KWENYE BIBLIA.(nazifahamu sana hizo story zenu)

Sahih Al-Bukhar ilishamaliza hili swala... na inasema wazi Aisha alikuwa anacheza na Midoli wakati akiwa na mtume. Hakuna mtu wa miaka 17 anayecheza na midoli.

Mtume alikuwa PDEOPHILE, Period. Alifanya jambo amabalo hata nyie wenyewe mnaona ni la aibu ndio maana mnahangaika sana kulikana kama wewe unavyofanya hapa.

Mtume alifanya jambo la KISHENZI... Mtu anayejinasibu kama mtume wa Mungu kwenda kulala na katoto ka miaka 9 ni ushenzi tu.
 
Ponda hayuko sahii. Qur'an pia haiko sahihi na uislam pia hauko sahihi una lingine?
 
Huyo mjinga hata Kama Ni marehem anatakiwa ashtakiwe kwa ubakaji mjinga mmoja yeye
 
Tutolee upumbavu wako hapa madhehebu yapo sana tu mfano Shia na sunny
 
Yeye angepinga tu Hilo kutaka reference za dini yake zifuatwe Kwan serikal inaendeshwa na dini! Kwa hyo we ulitaka hyo ibadishwe kwa kuwa dini ya kiislam inataka hvyo?
Tatizo ufahamu wako mdogo unao sukumwa na chuki binafsi kila mtanzania anayo haki yake kupinga sheriya pindipo ataona inambana kwenye imani yake au mambo yake ni haki yake tena ya msingi,

Imani yetu inasema mtoto wakike atakapo anza kuona siku zake kila mwezi tayali kakua yafaa kuolewa aijalishi ataanza kuziona akiwa na umri gani kitendo cha serikali kuweka kiwango cha miaka 18 nanene nikupinga imani yetu wewe kama ukirisito wako unaunga mkono miaka 18 sawa hakuna kesi sijui kinacho kufanya umshutumu ponda nikitu gani au ulitaka avaa msalaba kama wewe chuki chuki tu
 
Sema kidogo ubakishe ujui urafia wapi au mauti yatakukuta uko katika hali gani ingawa unajihesabia mwema
 
Dini ya ajabu hii,?? Waanze na vitukiuu vyake maana naamini watoto na wajukuu walikwisha kuvuka miaka 9. Hapo anaongea kana kwamba vitoto vya kike ni vya watu wengine na haviwezi kutoka kwenye nyumba yake
Ndini ya hajabu ni hile inayo muabudu kiumbe yesu
 
Hivi Wana maslahi gani mtoto akiolewa na umri huo mdogo? Mijadala mingine ni ya kipuuzi sana....... yaani Binti akiolewa na miaka 14 nini faida Kwa Uislam?
 
Saudi Arabia si uislamu wala Qur'an. Ponda yupo sahihi kuhusu umri wa binti kuolewa kwa mujibu wa Dini ya kiislam ila hayupo sahihi katika dai la kuwa miaka 18 ni pendekezo la wakatoliki.
Mkuu akiolewa na miaka 14 ndiyo mnapata swawabu? Vp ww binafsi unaweza kumuozesha binti yako ktk umri huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…