Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Waislam Watanzania Wana uchu na uchi wa tuschana tudogo.

Ni wajinga sana, wana maujinga mengi mno.
Ndiyo maana mizee mizee hapa mjini haitaki shikamoo toka kwa mabinti wadogo kumbe inawaza upuuzi tu,badala ya kuwaza kuwaendeleza mabinti kwenye mambo ya msingi wanawaza kuwaozesha tu,ni upumbavu sana
 
Ndini ya hajabu ni hile inayo muabudu kiumbe yesu
Ukimwita kiumbe Yesu unamkosea heshima, otherwise kwa sababu wakristu tunamheshimu zaidi ndio unafanya ushabiki. Rejea kwenye kitabu chenu kuhusu yeye ni nabii aliyeandikwa na waliosoma wanamheshimu Sana. Wakristu kwao kitabu Chao hakuna Aya hata Moja iliyomtambua au kumtaja Muhammad
 
Fact.

Kama bado hajakuelewa. Huyo kaamua kupinga tu. Na hatokubali lolote.



Kwa lugha nyepesi tunasema watu wako contaminated na mafunzo ya Orients ambao kazi yao kubwa ni disinformation.

Na waathirika waumini wote
 
Hebu tupatie hiyo hadithi kwanza. Kwa maana naona umekaza na sahihi muslim kama kwamba huyo muslim ni nabii au mwanafunzi wa mtume
 
hasipo elewa hapo basii mwacheni😂😂😂
 
Ni kweli Katiba yetu inatambua mtoto kuwa ni mtu mwenye umri wa chini ya miaka 18.

Kwa hiyo kusema binti aolewe kuanzia umri wa miaka 14 maana yake aolewe akiwa mtoto?

Je kipi kinafaa kuja cha kwanza ?
 
Mohamad alimuoa aisha akiwa na miaka 6 na akalala naye akiwa na miaka 9.

Ni mambo ya aibu, ila Huo ndio ukweli wa vitabu vyenu mlivyoandika wenyewe.

Usipingane na ukweli mliouandika wenyewe.
Hebu tupatie hiyo hadithi kwanza. Kwa maana naona umekaza na sahihi muslim kana kwamba huyo muslim ni nabii au mwanafunzi wa mtume.

halafu weye unaejenga hoja hizi hujaolewa, ulianza kuzini ukiwa shule ya msingi. Huwezi kuolewa hadi kwanza mpimane, mzoeane halafu hamtooawa. Bali mtabariki ukinyumba wenu. Mbapata wapi haki kujifanya ni wapiganaji wa mafundisho ya paulo.

Paulo aliyewakaririsha kuwa Mungu mkuu ni yesu.
Wakati yesu mwenyewe kakaririwa akisema mungu wake ni Eloi, kwa tafsiri ya king James Elah kwa kiarabu ni Allah

 
Kings James hiyo hiyo iliyoabdikwa na Reverent Scofields amelianda Mungu wa Yesu mwenye jina la Eloi kuwa ni Alah. Au kwa kiarabu ni Allah.

Sasa mkanganyiko huu ubaopatikana kwa bible ndio unaoufanya kitabu kianze kupoteza maana halisi.

Leo ukimwambia Mungu ni Alah hatutoelewana.

Na Athari kama hii imezikumba hadithi na vitabu vingine ktk Uislam nje ya Quran.

Leo hii uislam unafananishwa na mambo mengi tu ikiwemo Uganga, mashetani, majini no. Yote haya yanakuja baada ya kuingia mila za jamii ndani ya uislam

 
Umepanick. Hii mada haimuhusu Paulo na wala haihusu Alah in the bible.

Turudi kwenye mada. Kwanza Usinichoshe... Wewe ni muislam gani usiyeijua Sahih Al-Bukhar?
Kwamba hadithi ya Aisha na Mohamad huijui na hujui inapatikana wapi?

Sasa nabishana na muislam gani ambaye hata vitu basic kama hivyo havijui?

ACHENI WATOTO WASOME...
Tabia zenu za Kishenzi za kuoa watoto zilizoasisiwa na kiongozi wenu Mohamad kwa Aisha hazina nafasi katika ulimwengu wa leo....

This is 2023 for fucks sake...hatuwezi kuishi kama walivyoishi watu wa karne ya 7 wakati wa Mudi.
 
Huruma sana kwa kweli haya majitu hayafai kuishi na jamii iliyo staarabika.
 

Inaonesha wewe ni mpungufu wa elimu na unajiona unajua kumbe mweupe kichwani hebu nikuambie kaangalie maisha ya wazungu au watu wa mashariki ya kati wa karne ya saba walikuwa wakioana kwa umri gani?? Sasa kama unakataa la bikira maria kuolewa akiwa na miaka 14 naomba utupe umri sahihi maria aliolewa akiwa na umri gani?? Sitetei sana hoja ya ndoa za utotoni kwa maana ya utotoni haswa ila natetea huo umri ambao mumeamua kuuita utoto wakat kiuhalisia sio umri wa utoto
Nimekuuliza hapo juu kwa umri huo wa miaka 6 je mtoto mdogo angeweza kufanya yote niliyoandika hapo juu?? Jibu kwa hoja ndugu yangu .mpaka sasa hiv tunavoandika hapa uingereza sheria yao inasema mtoto wa kike anafaa kuolewa akiwa na miaka 16 je shehe ponda kusema 14 mbona imekuuma sana?? So matusi yoote hapo ya kutukana mtume kisa hyo difference ya miaka 2? Je umesikiliza hotuba ya kabudi vizuri?? Je yule nae ni muislamu mroho mwenye kutamani uchi wa watoto??
Pia ufahamu watu wa zamani walikuwa na maumbo tofauti na sisi , kama unaamizi baadhi ya manabii waliishi zaidi ya miaka 200 kwa nin usiamini kuwa hata umri wao wa mabadiliko ya kimwili haupo kama sisi??

Lakini swali la mwisho naomba pia nikutoe nje ya mada.ukigoogle hapo dini inayokuwa kwa kasi duniani kwa sasa ni uislamu na wengi wanaosilimu ni wazungu ambao hawakuupenda uislamu kama wewe ulivo sasa, wamefanya utafiti wakajua mtume hakuwa mshenzi wa tabia na vitu vingi alisingiziwa,hivi Mtume mohammad (pbuh) angekuwa mshenzi wa tabia kama unavodai unafkiri mamilioni ya wazungu wangebadili dini na kumfata?? Kwa hyo wewe unawazidi wazungu ambao wanasoma na kutafiti mambo??

Cha mwisho pia nenda google andika hivi
"The greatest human being of all time to live on the planet"
Utawaona wengi sana ila namba 1 ni huyo huyo mtume uliemtukana hapa kwa kukosa ufahamu.kumbuka google sio ya mtume na aliyeandika hapo sio mwisilamu ila kaona mtume ana vigezo na hakuna andiko lenye fact lililotolewa kupinga hilo.mwisho naomba ujue MTUME HAKUWA MSHENZI WA TABIA KAMA UNAVOAMINISHA WATU HAPA NA WEWE NI MWEUPE KICHWANI ,KASOME TENA VITABU MBALI MBALI UPANUE UBONGO WAKO
 
Hakuna mahali Biblia imesema Umri wa Maria kushika mimba au kuzaa au kuolewa. USITAFUTE KICHAKA


Pili, Google content zake zinaandikwa na watu... hamna maajabu hapo. Mohamad hawezi kufikia Greatness ya Yesu hata kidogo.

Mwisho kabisa. Huu ni mwaka 2023, hatuwezi kuishi maisha ya karne ya 7 kama mtume aliyeoa mtoto wa miaka 6 miaka 1400 iliyopita.

PELEKENI WATOTO SHULE, Wakikua wakafika umri wa utu uzima 18 years wataolewa. Acheni kutetea Upumbavu.
 
Kumbe umejaririshwa na kibwetere. Haya ngoja nipigilie msumari hapo hapo.

Lete hadithi ya Muslim kuhusu hiyo ndoa kama kweli ipo au utaongea illusion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…