Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Did you do that? Anza nyumbani mwako,au huna kabinti ka miaka 9[emoji137][emoji137]Mo alikua mbakaji Kama wabakaji wengine,tu a girl at 9,a class three kid?
 
Uskute walio leta uislamu hapa bongo sio waarabu og itakua ni waarabu vichaa maana mbona uislamu wa bongo na wa uarabuni ni vitu tofauti. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1241][emoji1241]no more comments about that!
 
Unapozungumzia Uislam haitajw nchi mtaje alieamin na kufuata maamrisho ya Dini, kwaio Saudia wakisema Ushoga Ruhsa ndo itakua na maana uislam umepitisha ushoga???
Mbona hizo ndiyo shutuma zenu kila kukicha kila Jambo linalofanywa na wazungu,mnaupaka matope ukristo? Fallacy to ganerallization ni common kwa hawa WAISLAMU wa tanganyika wengi Sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waislam Watanzania Wana uchu na uchi wa tuschana tudogo.

Ni wajinga sana, wana maujinga mengi mno.

Nawaombea hao mababa wakapate watoto wa kike tu!
Alafu hapo ndio uchungu wa katoto ka kike chao kika olewe na jitu zee kama yeye walahi
Totally scammed bags [emoji2962]
 
Why can't we just wait? Siku hizi vitoto miaka 18,amemakiza form six,muoe tu, kwanini uhangaike na vitoto under 18? Hayo Mambo ya bikra si mtayakuta mbinguni [emoji137][emoji137][emoji137]
 
Kumbe umejaririshwa na kibwetere. Haya ngoja nipigilie msumari hapo hapo.

Lete hadithi ya Muslim kuhusu hiyo ndoa kama kweli ipo au utaongea illusion.
Hahahaha

Unaikataa hadithi ya Sahih Al-Bukhar ? Kwamba huijui au ndio kujitoa ufahamu?

Huwa mkibanwa kwenye kona mnakataaga hadithi zenu mnadai zimechakachuliwa, wakati waandishi ni nyie wenyewe.

Wewe nikikubana vizuri hata Quran utaikataa.
 
Eti asiimudu shule. Kwa nini Asiimudu shule?
Shule ni BURE mpaka form six, hakuna kisingizio chochote. Kwa nini mtoto asisome?

Mbona shule ya msingi ni lazima na inalazimishwa? Kwa nini usimlazimishe mwanao aende sekondari? Hii ni karne ya 21 nyie watu..

Wewe watoto wako unakazania wasome,hata kwa lazima... ila unataka watoto wa wenzako ndio waolewe na miaka 13.
Wewe mtoto wako asipoimudu shule katika miaka Tisa (9) akataka kuolewa utakubali? Au unatetea tu ujinga kwa ajili ya watoto wa wenzako?

Dini huwa inafanya hata wasomi mnakuwa Wapumbavu... Unatetea Ujinga ambao haupo tayari kuufanya kwa watoto wako.
 
Wanaongeaga huu ujinga kwa watoto wa wenzao tu kwa sababu dini yao inaruhusu haya mambo ya ajabu.

Ila yeye hayupo tayari hata kidogo mtoto wake wa miaka 6 au 9 au 12 hata 14 aolewe.

Ukienda kwake ukataka kuoa binti yake wa miaka 10 atakutoa nduki na panga, ila hapa anakaza misuli kutetea kwa ajili ya watoto wa masikini lakini sio watoto wake.
 
Hahahaha

Unaikataa hadithi ya Sahih Al-Bukhar ? Kwamba huijui au ndio kujitoa ufahamu?

Huwa mkibanwa kwenye kona mnakataaga hadithi zenu mnadai zimechakachuliwa, wakati waandishi ni nyie wenyewe.

Wewe nikikubana vizuri hata Quran utaikataa.
Any way. Nilitaka kukupatia somo zuri kama ungeleta hiyo unayoiita hadithi.

Somo hilo linahusiana kwa kimombo Orientalism.

Hawa orientalism walikuwapo Korea karne na karne. Na waanzilishi ni warumi.

Kazi yao ni kupotoa mafunzisho sahihi ya imani na kutunga itikadi mpya. Ndio maana leo unakuta. Wana influence kubwa kiasi kwamba hata wanachuoni wakubwa wanaathiriwa. Orientalism ktk uislam uliletwa kimkakati wa kuchafua uislam baada ya mbili nyingine zikiwemo za kijeshi kushindikana (crusaide).
Hivyo wakaonelea njia pekee ya kuubomoa uislam ni kupandikiza mafundisho ambayo hayapo (disinformation) uongo uliotengenezwa. Ikiwa ni pamoja na kumsingizia mtume aliuenezwa uislam kwa upanga kupitia jihad, jihad wakimaanisha vita vya upanga, myung kuoa mtoto wa miaka 6, msimamo Mkali, dini ya kufuga majini, ilimradi kuuchafua uislam. Lkn waislam wanaposinama huwaambia wengine udhaifu wa imani zao kwa kutumia principals za historia, sayansi, elimu nk.

Matokeo yake uislam unasimama na wengine wanayumbishwa. Leo wenzetu hamuwezi kutofautisha kati ya dini yenu na ubepari au ujamaa.

Maandiko ya Mungu au mawazo ya kiongozi wako. Na kwa waafika ni shida zaidi tofauti na wazungu. Wazungu wanapenda kujisomea waongeze maarifa. Waafika wakishaimba wakatoa fungu la 10. Biashara ishaisha wakitoka wanaenda kwenye ulabu.

Tuanchane na historia;
Turudi kwenye mada. Ili to make our own history.

Naamini mada kuu ya kulijadili ni
Upi ni utamaduni bora.
Ungependa wasichana wa wanasoma sekondari wasibanwe wakihitaji kuolewa na poa wasikatishe masomo au ungependa wabanwe wasiolewe na afanye zinaa salama kama utamaduni uliozoeleka unaoendelea.

Upi ni utamaduni bora.
 
Unalawama nyingi kuliko pongezi.
 
Jamaa kamaliza majadiliano yote. Mimi nimezipenda nondo zake huyu mwamba
 

Attachments

  • VID-20230407-WA0290.mp4
    6.1 MB
18 nafikiri ni mbali
Ingekua walau 16
Umri wa secondary walau kidogoo mtu kasogea

Maana ni wachache wanafikisha 18 wakiwa bikra
Tuliofikisha tukiwa 20+ ni wachache zaidi
 
Hili suala linahitaji umakini sana. Kwanza nini lengo la hao wanaotaka kubadillisha Sheria hiyo ya ndoa ya Mwaka 1971. Kwa sasababu hizi taasisi za kijamii siku hizi zina malengo mengi sana, likiwemo la kueneza ushoga nchini mwetu. Sasa isije wakaja tena na sheria ya kutaka wanaume waowane wao kwa wao na wanawake waowane wao kwa wao.

Kwasababu wanataka kuzuia ndoa kwa mabinti walio chini ya Miaka 18, lakini hawazuii mabinti hao kufanya ngono chini ya miaka 18 au wakiwa bado ni wanafunzi. Tena wanawahamashisha wafanye ngono lakini watumie uzazi wa mpango. Kumbuka lile tangazo la Habiba na Shangazi yake.

Kama haitoshi, pia wanahamasishwa wabebe mimba halafu waende wa kazae na warudi kuendelea na shule. Yaani wao kuzaa bila ndoa ni halali kisha warudi waendelee na Shule lakini ni Marufuku kuolewa hatakama sio wanafunzi hadi wafikike umri huo wanaoutaka wao.

Sitaki kuamini kua watu wenye Akili na Busara wameisha Duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…