Hahahaha
Unaikataa hadithi ya Sahih Al-Bukhar ? Kwamba huijui au ndio kujitoa ufahamu?
Huwa mkibanwa kwenye kona mnakataaga hadithi zenu mnadai zimechakachuliwa, wakati waandishi ni nyie wenyewe.
Wewe nikikubana vizuri hata Quran utaikataa.
Any way. Nilitaka kukupatia somo zuri kama ungeleta hiyo unayoiita hadithi.
Somo hilo linahusiana kwa kimombo Orientalism.
Hawa orientalism walikuwapo Korea karne na karne. Na waanzilishi ni warumi.
Kazi yao ni kupotoa mafunzisho sahihi ya imani na kutunga itikadi mpya. Ndio maana leo unakuta. Wana influence kubwa kiasi kwamba hata wanachuoni wakubwa wanaathiriwa. Orientalism ktk uislam uliletwa kimkakati wa kuchafua uislam baada ya mbili nyingine zikiwemo za kijeshi kushindikana (crusaide).
Hivyo wakaonelea njia pekee ya kuubomoa uislam ni kupandikiza mafundisho ambayo hayapo (disinformation) uongo uliotengenezwa. Ikiwa ni pamoja na kumsingizia mtume aliuenezwa uislam kwa upanga kupitia jihad, jihad wakimaanisha vita vya upanga, myung kuoa mtoto wa miaka 6, msimamo Mkali, dini ya kufuga majini, ilimradi kuuchafua uislam. Lkn waislam wanaposinama huwaambia wengine udhaifu wa imani zao kwa kutumia principals za historia, sayansi, elimu nk.
Matokeo yake uislam unasimama na wengine wanayumbishwa. Leo wenzetu hamuwezi kutofautisha kati ya dini yenu na ubepari au ujamaa.
Maandiko ya Mungu au mawazo ya kiongozi wako. Na kwa waafika ni shida zaidi tofauti na wazungu. Wazungu wanapenda kujisomea waongeze maarifa. Waafika wakishaimba wakatoa fungu la 10. Biashara ishaisha wakitoka wanaenda kwenye ulabu.
Tuanchane na historia;
Turudi kwenye mada. Ili to make our own history.
Naamini mada kuu ya kulijadili ni
Upi ni utamaduni bora.
Ungependa wasichana wa wanasoma sekondari wasibanwe wakihitaji kuolewa na poa wasikatishe masomo au ungependa wabanwe wasiolewe na afanye zinaa salama kama utamaduni uliozoeleka unaoendelea.
Upi ni utamaduni bora.