Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #101
Nani kakwambia mimi sio muislamu?Na wewe utadharaulika km unampinga wakati sio Muislam ila utakuwa sahihi kupinga km wewe ni Muislamu na unaujua misingi yake hasa ktk ndoa.
Wanatufanya Waislamu wengine tuonekane hamnazoUskute walio leta uislamu hapa bongo sio waarabu og itakua ni waarabu vichaa maana mbona uislamu wa bongo na wa uarabuni ni vitu tofauti. πππππ
QURAN inasema vipi that what real matter sio msaudia kaamua nn, hakuna mbora kwa mwenyezi Mungu ila yule alieamin na kuifuata QURANUskute walio leta uislamu hapa bongo sio waarabu og itakua ni waarabu vichaa maana mbona uislamu wa bongo na wa uarabuni ni vitu tofauti. πππππ
Wewe unaijua Quran kuliko wa Saudi Arabia?QURAN inasema vipi that what real matter sio msaudia kaamua nn, hakuna mbora kwa mwenyezi Mungu ila yule alieamin na kuifuata QURAN
Hakuna analolijua alafu anabisha tu. Watoto wa Kwa house girl shida sana.Ameishia kulalama tu
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Acha Madharau Wataandama Sasa Hivi
Unaisema Dini Mnyazimungu
Mufti ambatanisha na aya.Miaka sita inaruhusiwa
Unaijua QURAN ww wakati lugha yenyewe sio yakoπππππ aliekuletea kaamua kubadili vifungu kidogo ili aendane na dunia tuliyopo ww wa kuletewa shupaza shingoQURAN inasema vipi that what real matter sio msaudia kaamua nn, hakuna mbora kwa mwenyezi Mungu ila yule alieamin na kuifuata QURAN
Wewe unaijua Quran kuliko wa Saudi Arabia?
Unapozungumzia Uislam haitajw nchi mtaje alieamin na kufuata maamrisho ya Dini, kwaio Saudia wakisema Ushoga Ruhsa ndo itakua na maana uislam umepitisha ushoga???Wewe unaijua Quran kuliko wa Saudi Arabia?
Wewe ni Mama au Baba?Yan katka watu ambao hawana akili pamoja na wewe we unadhan saudia ndo uislam. Din ya kiislam inasimama yenyewe kama yenyewe hakuna cha msaudia wala nan mtume amemuowa A'isha akiwa na umr wa miaka 7 na kuanza rasim kuishi nae kindoa akiwa miaka 9 peleka mbele uko upuuzi wako
Mtoto hata kama akiwa na miaka 7 wazazi wakiruhusu aolewe. Ila si wa kwangu. Nitakukata kata nikule nyama huku unajiona wallah. But wengine waozeshe tu miaka 7 akifika 10 huko analiwa vizuri tu.Sheria ya mtoto inataka mtoto asiolewe ila sheria ya ndoa inatoa idhini ya mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa amri ya mahakama. Sasa watu wanataka kuondoa huo mkanganyiko na kumlinda mtoto ajulikane ni yule aliye na chini ya miaka 18.
Mtoto asiolewe. Shehe apunguze udini maana unaumiza watoto wetu
Usipende kuwa jumuishi kama unazungumzia maoni ya watu.Waislam Watanzania Wana uchu na uchi wa tuschana tudogo.
Ni wajinga sana, wana maujinga mengi mno.
AiseeeeSema wewe inasemaje? wewe unajua Quran kuliko wa Saudi Arabia?
Umenena vyemaSaudi Arabia si uislamu wala Qur'an. Ponda yupo sahihi kuhusu umri wa binti kuolewa kwa mujibu wa Dini ya kiislam ila hayupo sahihi katika dai la kuwa miaka 18 ni pendekezo la wakatoliki.
Kingine Saud ya Rabia Hakuna upuuzi was kuoa wake wengi hata Kama unamiliki visima Mia vya mafuta Ni marufuku kuoa wake Zaid ya mmoja hi Sheria IPO had Qatar ,Dubai na Yemen hukoLeo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.
Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.
Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.
View attachment 2577735