Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Sheria ya mtoto inataka mtoto asiolewe ila sheria ya ndoa inatoa idhini ya mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa amri ya mahakama. Sasa watu wanataka kuondoa huo mkanganyiko na kumlinda mtoto ajulikane ni yule aliye na chini ya miaka 18.

Mtoto asiolewe. Shehe apunguze udini maana unaumiza watoto wetu
 
Uskute walio leta uislamu hapa bongo sio waarabu og itakua ni waarabu vichaa maana mbona uislamu wa bongo na wa uarabuni ni vitu tofauti. 😆😆😆😆😆
QURAN inasema vipi that what real matter sio msaudia kaamua nn, hakuna mbora kwa mwenyezi Mungu ila yule alieamin na kuifuata QURAN
 
Yan katka watu ambao hawana akili pamoja na wewe we unadhan saudia ndo uislam. Din ya kiislam inasimama yenyewe kama yenyewe hakuna cha msaudia wala nan mtume amemuowa A'isha akiwa na umr wa miaka 7 na kuanza rasim kuishi nae kindoa akiwa miaka 9 peleka mbele uko upuuzi wako
Wewe ni Mama au Baba?
Una mtoto wa kike?
Ana umri gani?
 
Sheria ya mtoto inataka mtoto asiolewe ila sheria ya ndoa inatoa idhini ya mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa amri ya mahakama. Sasa watu wanataka kuondoa huo mkanganyiko na kumlinda mtoto ajulikane ni yule aliye na chini ya miaka 18.

Mtoto asiolewe. Shehe apunguze udini maana unaumiza watoto wetu
Mtoto hata kama akiwa na miaka 7 wazazi wakiruhusu aolewe. Ila si wa kwangu. Nitakukata kata nikule nyama huku unajiona wallah. But wengine waozeshe tu miaka 7 akifika 10 huko analiwa vizuri tu.
 
Waislam Watanzania Wana uchu na uchi wa tuschana tudogo.

Ni wajinga sana, wana maujinga mengi mno.
Usipende kuwa jumuishi kama unazungumzia maoni ya watu.

Ungeonekana huna mihemko kama ungetumia 'asilimia kubwa' au 'wengi'.

Siku nyingine usiwe mjinga. Sawa?
 
Kuna tatizo mahali lilizembewa kwenye mafunzo na mitazamo.

Mambo mengi yanabadilika kwa dunia ya sasa elimu ni jambo la muhimu na msingi sana tutakapo wakataza hawa watoto wa kike kupata elimu tutajenga taifa lenye watu wajinga baadae, sehemu kubwa ya wanaolea watoto ni wanawake sasa asipokua na elimu kwa dunia yetu unatarajia atakuza watoto watakao jielewa?
Kwahiyo kuna sababu kubwa ya kuwapa elimu na kuwapa muda wakue wapitie malezi stage zote ili kukomaa kiakili. Tatizo tunasimamia misingi ya dini ambayo haitatuendeleza zaidi ni kutoelewa tu mfano ukimtunza binti mpka miaka 18 ndipo awe huru kuolewa kwa Mungu ataandika dhambi?

Wenye dini zao wanabadili mambo fulani kuendana na dunia wapo waliokataza vipaza sauti kushtua watu asubuhi wakati kama unaimani unaamka mda wa sala sio kupaziana sauti za vitisho 😆😆😆😆
 
Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.

Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.

Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.

View attachment 2577735
Kingine Saud ya Rabia Hakuna upuuzi was kuoa wake wengi hata Kama unamiliki visima Mia vya mafuta Ni marufuku kuoa wake Zaid ya mmoja hi Sheria IPO had Qatar ,Dubai na Yemen huko

Napenda waislamu wastaarabu siyo Hawa dini ya mnyazimungu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom