Yaani wakiruhusu ushoga basi watu wamekwisha😎Unapozungumzia Uislam haitajw nchi mtaje alieamin na kufuata maamrisho ya Dini, kwaio Saudia wakisema Ushoga Ruhsa ndo itakua na maana uislam umepitisha ushoga???
Mnyazi kama mnyazi😂😆😆😆😆Kingine Saud ya Rabia Hakuna upuuzi was kuoa wake wengi hata Kama unamiliki visima Mia vya mafuta Ni marufuku kuoa wake Zaid ya mmoja hi Sheria IPO had Qatar ,Dubai na Yemen huko
Napenda waislamu wastaarabu siyo Hawa dini ya mnyazimungu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Qur'an imesema oeni katika wanawake na siyo wasichanaJe, quran inasemaje kuhusu Umri wa ndoa kwa mtoto wa kike?
Naam, Quran inazingatia ukomavu wa akili na mwili ndio kigezo ndoa kwa mwanamkeQur'an imesema oeni katika wanawake na siyo wasichana
Ni umri gani labda uislamu umesema mtoto wa kike aolewe?Saudi Arabia si uislamu wala Qur'an. Ponda yupo sahihi kuhusu umri wa binti kuolewa kwa mujibu wa Dini ya kiislam ila hayupo sahihi katika dai la kuwa miaka 18 ni pendekezo la wakatoliki.
Kwenye suala la ndoa uislamu haukutaja umri wa kuolewa mwanamke,na kama unaizungumzia Saudi Arabia basi saud haikufanya hayo unayoyaona ni mabadiliko ya kuendana na Dunian kwenye Sheria za umri wa ndoa.Kuna tatizo mahali lilizembewa kwenye mafunzo na mitazamo.
Mambo mengi yanabadilika kwa dunia ya sasa elimu ni jambo la muhimu na msingi sana tutakapo wakataza hawa watoto wa kike kupata elimu tutajenga taifa lenye watu wajinga baadae, sehemu kubwa ya wanaolea watoto ni wanawake sasa asipokua na elimu kwa dunia yetu unatarajia atakuza watoto watakao jielewa?
Kwahiyo kuna sababu kubwa ya kuwapa elimu na kuwapa muda wakue wapitie malezi stage zote ili kukomaa kiakili. Tatizo tunasimamia misingi ya dini ambayo haitatuendeleza zaidi ni kutoelewa tu mfano ukimtunza binti mpka miaka 18 ndipo awe huru kuolewa kwa Mungu ataandika dhambi?
Wenye dini zao wanabadili mambo fulani kuendana na dunia wapo waliokataza vipaza sauti kushtua watu asubuhi wakati kama unaimani unaamka mda wa sala sio kupaziana sauti za vitisho 😆😆😆😆
Inaruhusu ubakaji kumbeWaislam Watanzania Wana uchu na uchi wa tuschana tudogo.
Ni wajinga sana, wana maujinga mengi mno.
😂😂😂😂😂😂 We dr ni falasi kudadeki ahhahahaWaislam Watanzania Wana uchu na uchi wa tuschana tudogo.
Ni wajinga sana, wana maujinga mengi mno.
Upumbavu wako unadhani Waislamu wanafuata wanachosema Wasaudi Arabia badala ya Qur"an na mafundisho ya Mtume wetu MUHAMMAD Swala llahu alayhi wassallamSema wewe inasemaje? wewe unajua Quran kuliko wa Saudi Arabia?
Kichwa nazi wewe !,bendera fuata upepoUmesoma wapi iyo biology? Usikute ulikimbia umande huko unaleta maneno eti kibaiolojia! Muhuni tu wewe
Kaka utapotea ukifata watu shauri yako, fata dini inasemaje, qur an ndio muongozo wetu na sio Saudi Arabia, huko Saudi Arabia Kuna hadi night club je dini inaruhusu?Nimemuuliza yeye anajua Quran kuliko wa Saudi Arabia?
Kwa hiyo wewe unajua Quran kuliko wa Saudia? chizi weweUpumbavu wako unadhani Waislamu wanafuata wanachosema Wasaudi Arabia badala ya Qur"an na mafundisho ya Mtume wetu MUHAMMAD Swala llahu alayhi wassallam
Acha ufala! Unajua hata hizo night clubs zimewekewa taratibu gani huko Saudi Arabia?Kaka utapotea ukifata watu shauri yako, fata dini inasemaje, qur an ndio muongozo wetu na sio Saudi Arabia, huko Saudi Arabia Kuna hadi night club je dini inaruhusu?
We ushakuwa chizi! Kwa hiyo leo wewe ndo unafuata Quran kuliko msaudia?QURAN inasema vipi that what real matter sio msaudia kaamua nn, hakuna mbora kwa mwenyezi Mungu ila yule alieamin na kuifuata QURAN