Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Unapozungumzia Uislam haitajw nchi mtaje alieamin na kufuata maamrisho ya Dini, kwaio Saudia wakisema Ushoga Ruhsa ndo itakua na maana uislam umepitisha ushoga???
Yaani wakiruhusu ushoga basi watu wamekwisha😎
 
Kingine Saud ya Rabia Hakuna upuuzi was kuoa wake wengi hata Kama unamiliki visima Mia vya mafuta Ni marufuku kuoa wake Zaid ya mmoja hi Sheria IPO had Qatar ,Dubai na Yemen huko

Napenda waislamu wastaarabu siyo Hawa dini ya mnyazimungu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mnyazi kama mnyazi😂😆😆😆😆
 
Mimi Sikubaliani na kauli ya sheikh ponda kwa kuonyesha kana kwamba Kuna umri umewekwa kwenye Quran wa ndoa ,Quran haijataja umri mwanamke kolewe Bali kilichoelezwa kwenye Quran ni kwaba inazingatia utu uzima wa akili (rushdh) ndio kigezo Cha ndoa.
(4:6)

Quran inazingatia ukomavu wa kiakili (ambao siku zote huangukia zaidi ya umri wa balehe) kuwa msingi wa kufikia umri wa kuolewa. Hivyo mwanamke anapofika hatua ya kukomaa kiakili na kimwili ndio muda wa kuolewa kwa mujibu wa Quran

sio sawa kuiita Sheria ya miaka 18 ni mfumo wa kikatoriki , kwa Sababu kwa Karne yetu kwa mabadiliko tuliyokuwa nayo mwanamke wa 18 yrs ndio anaweza kuingia sifa zilizotajwa na Quran

Na hii ndio Sababu Quran haikutaja umri wa mwanamke kuolewa,kama labda ingesema akifika miaka 14 aolowe ingekuwa ni disaster ukiangalia hata mtaani kwako mwenye umri huo bado mtoto hajakomaa mwili Wala akili.

Japo hio ilikuwa kawaida miaka ya zaman jamii za kiyaudi kipindi Cha yesu , Issac na Joseph vilifanyika sana hata huko ulaya wafalme wengi walioa under 18 na labda kwasababu wenzetu walijaaliwa miili mikubwa iliyopevuka mapema.
 
Saudi Arabia si uislamu wala Qur'an. Ponda yupo sahihi kuhusu umri wa binti kuolewa kwa mujibu wa Dini ya kiislam ila hayupo sahihi katika dai la kuwa miaka 18 ni pendekezo la wakatoliki.
Ni umri gani labda uislamu umesema mtoto wa kike aolewe?
 
Kuna tatizo mahali lilizembewa kwenye mafunzo na mitazamo.

Mambo mengi yanabadilika kwa dunia ya sasa elimu ni jambo la muhimu na msingi sana tutakapo wakataza hawa watoto wa kike kupata elimu tutajenga taifa lenye watu wajinga baadae, sehemu kubwa ya wanaolea watoto ni wanawake sasa asipokua na elimu kwa dunia yetu unatarajia atakuza watoto watakao jielewa?
Kwahiyo kuna sababu kubwa ya kuwapa elimu na kuwapa muda wakue wapitie malezi stage zote ili kukomaa kiakili. Tatizo tunasimamia misingi ya dini ambayo haitatuendeleza zaidi ni kutoelewa tu mfano ukimtunza binti mpka miaka 18 ndipo awe huru kuolewa kwa Mungu ataandika dhambi?

Wenye dini zao wanabadili mambo fulani kuendana na dunia wapo waliokataza vipaza sauti kushtua watu asubuhi wakati kama unaimani unaamka mda wa sala sio kupaziana sauti za vitisho 😆😆😆😆
Kwenye suala la ndoa uislamu haukutaja umri wa kuolewa mwanamke,na kama unaizungumzia Saudi Arabia basi saud haikufanya hayo unayoyaona ni mabadiliko ya kuendana na Dunian kwenye Sheria za umri wa ndoa.

Quran inazingatia ukomavu wa akili na mwili ndio kigezo Cha ndoa mwanamke , mwanamke akifika kuokomaa basi na aolewe na mtu ampendaye.

Ambapo kwa hali ilivyo sasa mwanamke mwenywe miaka 18 ndio umri Sahihi wa kuolewa ikiwezekana hivyo Saudi ikaona huu umri unafaa kupitisha kwa kuzingatia matakwa ya Quran,so hakuna changes zozote zakuonekana kana kwamba mwanzo Quran ilisema labda miaka 15.

Tatizo la baadhi ya waislamu kwakua Sheria hizi zilianza kutumiwa au zinatumika sana na wazungu,wanaona ni kitu ambacho kipingana na uislamu kwa kuonekana kama kufuata Mila zao (kitu ambacho kimezuiliwa) lakini kumbe bila kuelewa ni umri sahihi ukilinganisha na matakwa ya Quran .
 
Nimemuuliza yeye anajua Quran kuliko wa Saudi Arabia?
Kaka utapotea ukifata watu shauri yako, fata dini inasemaje, qur an ndio muongozo wetu na sio Saudi Arabia, huko Saudi Arabia Kuna hadi night club je dini inaruhusu?
 
Kipindi cha kikwwte. Ilitokea KUCHINJA WANYANA ,, CHA MAGUFULI HAKUKUEPO. UJINGA WA KIDINI WOWOTE , NOW KIPINDI HIKI. UJINGA WA UMRI WA KUOA NA KUOLEWA HAPP KASHESHE , ASEEEE HIZI VICHWA ZITAAMDAMANA HIVI HIvi
 
Kipindi cha kikwwte. Ilitokea KUCHINJA WANYANA ,, CHA MAGUFULI HAKUKUEPO. UJINGA WA KIDINI WOWOTE , NOW KIPINDI HIKI. UJINGA WA UMRI WA KUOA NA KUOLEWA HAPP KASHESHE , ASEEEE HIZI VICHWA ZITAAMDAMANA HIVI HIvi
 
Upumbavu wako unadhani Waislamu wanafuata wanachosema Wasaudi Arabia badala ya Qur"an na mafundisho ya Mtume wetu MUHAMMAD Swala llahu alayhi wassallam
Kwa hiyo wewe unajua Quran kuliko wa Saudia? chizi wewe
 
Kaka utapotea ukifata watu shauri yako, fata dini inasemaje, qur an ndio muongozo wetu na sio Saudi Arabia, huko Saudi Arabia Kuna hadi night club je dini inaruhusu?
Acha ufala! Unajua hata hizo night clubs zimewekewa taratibu gani huko Saudi Arabia?
 
QURAN inasema vipi that what real matter sio msaudia kaamua nn, hakuna mbora kwa mwenyezi Mungu ila yule alieamin na kuifuata QURAN
We ushakuwa chizi! Kwa hiyo leo wewe ndo unafuata Quran kuliko msaudia?
 
Back
Top Bottom