Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Wamepindisha mambo gani? Yaani unajisikiliza wewe mtu? Nchi inayojitambulisha rasmi kama ya kiislamu unasema inapindisha uislamu??? Wewe nani?
Hacha kupoteza muda wako bule nenda tenga muda wako kila jioni itafute mwali kufundisha dini yako vinginevyo utakuwa unachekesha watu kwa kujifanya unaijua dini kumbe ujui chochote
 
Ardhi ya sehemu iliyoshushwa quran ni ardhi iliyo ndani ya nchi ya saudi Arabia.

Aya 2. Surat yusufu inasema hivi


﴿إِنَّا أَنزَلْنَاهُ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لَّعَلَّكُمْ تَعْقِلُونَ﴾
[ يوسف: 2]


Hakika Sisi tumemteremshia Mtume wetu haya maneno kwa lugha yenu ya Kiarabu yasomwe na yahifadhiwe, ili muyafahamu, na muwafikishie watu wote.
Lete andiko linalo sema serikali ya kimila kifalume kumpangia mtoto wa kike 18 kuolewa lete andiko hacha mbwembwe
 
Leo hii wakristo mkiambiwa Papa wa huko vatican kasema ushoga ni sawa tu ,wote mnafuata maana mmeacha kufuata maamrisho ya kitabu chenu mmeanda kufuata kauli za kiongozi wenu. Uislam haupo hivyo hata kama sheikh akisema jambo ambalo ni nje ya Quran na Sunnah ni lazima tusimame tumwambie kuwa hilo halipo katika dini yetu ya uislam. Uislam umekuja kukataza kuwaabudu watu (viongozi).
Mngeuanzisha huo uislamu sio kuletewa kwa majahazi
 
Unasikitisha sana

Nani kakwambia wote wanaobaki nyumbani wanazaa wakiwa na umri mdogo?

Alafu wapi imeandikwa kuwa kama mtoto haendelei na shule basi aolewe??

Hizo akili za nzi umezitoa wapi?
Hapa tutajitia kujua ujuaji usio na tija hoja ni kupinga 18 kuwa kigezo sahihi kwa mwanamke kuolewa akiwa chini ya miaka hiyo kesi hii aijakaa sawa
 
Huko kijijini kuna jitu zima na msuli wake linataka kutoa talaka kwa binti wa miaka 16 na binti ana festula.

Lilimuoa akiwa na miaka 12 limempa na mimba, kumtibu limeshindwa lipo lipo na mandevu yake linasema dini inamruhusu kumrudisha kwa wazazi ajifunze kuishi na mume huku likiwa limepeleka posa kutaka kuoa binti wa miaka 15.

STUPID: IN SAMIA VOICE.
 
Kwanza maisha yanapo kwenda kwa sasa ni hatari itafika wakati neno mwanamke kuolewa itakuwa kama bahati watoto wa NJE ya ndoa wanavyo ongezeka ni hatari na hawa ma Fimenist wamekuwa kama wendawazimu wamechanganyikiwa kisakolojia unakuta mwanamke anamiaka 35 yrs au 40 yrs old hana mtoto hana mume mwanamke kama huyu utamuelza nini akuelewe .

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Marriage below 18 ni pale tu focus ni kwenye tundu la kupitisha uboho na ma bogus wamekwamia hapo
 
HAWA WASWAHILI WANAWAZA SANA NGONO.

Mihadharra Yao imejaa NGONO, USHOGA NK.

Maeneo yote waliokaa WAARABU wameacha USHOGA.
Akina juma, Mohamed, isa, Shaban nk

Kila siku nawaambia DINI Yao imetoka

SHETANI + VATCAN+ MAPEPO + MAJINI +MOHAMED= QURAN.
 
HAWA WASWAHILI WANAWAZA SANA NGONO.

Mihadharra Yao imejaa NGONO, USHOGA NK.

Maeneo yote waliokaa WAARABU wameacha USHOGA.
Akina juma, Mohamed, isa, Shaban nk

Kila siku nawaambia DINI Yao imetoka

SHETANI + VATCAN+ MAPEPO + MAJINI +MOHAMED= QURAN.

😎😎😎
 
Halafu naona watu wanachanganya forced marriage na early marriage no one should be forced to marry!
 
Back
Top Bottom