25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Hacha kupoteza muda wako bule nenda tenga muda wako kila jioni itafute mwali kufundisha dini yako vinginevyo utakuwa unachekesha watu kwa kujifanya unaijua dini kumbe ujui chochoteWamepindisha mambo gani? Yaani unajisikiliza wewe mtu? Nchi inayojitambulisha rasmi kama ya kiislamu unasema inapindisha uislamu??? Wewe nani?