Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Umenielewa. Kuwa si kila tunacholetewa tukibebe kama kilivyo kwani hata serikali zao za majimbo hawafati.

Sasa wazo la wasichana bora kufanya zinaa lkn asiolewe ni la serikali kuu ya marekani.

Hawa ni mashetani
Bora tufate maelekezo ya MUNGU ambayo hayazuiii msichana akiwa na baleghe na sawa na mila wa jamii husika.
Maelekezo ya mungu kama yale ya Mohamad kuoa aisha wa miaka 6?
 
Miaka 14 kama anaziona siku zake kila mwenzi huyo sio mtoto labda kwenu nyiyi wakirisito ss waisilamu tayali huyo afaa kuolewa
Ni suala la muda tu utawaingilia watoto kimwili kwa siri sana maana sheria itakayomlinda itakuwa na nguvu.
images (18).jpeg
 
Vile ilivyo ngumu kumhubiri Mungu asiyebadilika kwa jamii inayobadilika
Ndivyo ilivyo ngumu kwa viongozi wa imani wasioona mabadiliko ya jamii kufundisha dini

Yaani spati picha mimi mama d nawezaje kuruhusu mabinti zangu waolewe wakiwa na miaka 14 ya kuzaliwa, yaani[emoji27][emoji27][emoji27]
Hiyo miaka 14 ni mingi sana kwa mujibu wa imani ya wavaa kobazi....

Miaka ya Quran hata 6 ni fresh tu, kama mohamad alovyooa binti Aisha wa miaka 6 na akalala naye akiwa na miaka 9.
 
Miaka 14 kama anaziona siku zake kila mwenzi huyo sio mtoto labda kwenu nyiyi wakirisito ss waisilamu tayali huyo afaa kuolewa
Kwa nini unakomaa na 14? Si useme 6 kabisa kama ya mtume? Au unaona aibu kuitetea na hiyo 6 ya Suna ya mtume?
 
Kwani UN inasemaje Kuhusu umri wa mtoto unaishia miaka mingapi?
Watu wasitumie dini. Sheikh asituzingue. Hiyo haki anayopigania kila siku ndio hii?
Katiba inasema miaka 18 mtu tu aje na miaka yake kwa manufaa binafsi. Asituzingue
 
Ndo maana mm nikimwona shekhe ana upeo mkubwa wa kufikiria huwa nashangaa sana! Ni mara chache sana kwenye hii dunia. Huyo shekhe kutokua na akili timamu ni jambo la kawaida
 
6 years old Aisha alikuwa attracted kwa 50 years Mohamad?
That's forced marriage I'm against that.

I support early marriage (i.e under 18yrs) with the girl's consent. Ingekuwa sheria yangu naweka 16yrs amalize o'level.

Msichana aseme mwenyewe I'd like to get married, otherwise stay single no dating. Sasa are they single these girls?

Halafu being married shouldn't deny her right to education.
 
Ndo maana mm nikimwona shekhe ana upeo mkubwa wa kufikiria huwa nashangaa sana! Ni mara chache sana kwenye hii dunia. Huyo shekhe kutokua na akili timamu ni jambo la kawaida
Haki yako kuwa ponda viongozi wetu wa dini inasukumwa na ufahamu wako mdogo kila mtu yuko na haki ya kutetea imani yake sheikh akitetea imani yake kakosa akili ila akiunga mkono hoja inayo pinga imani yake na kutetea imani nyingine kawa na akili,kitendo cha kutaka ponda aipinge imani yake awe upande wa imani yako wewe ndie usie kuwa na akili
 
Yeye angepinga tu Hilo kutaka reference za dini yake zifuatwe Kwan serikal inaendeshwa na dini! Kwa hyo we ulitaka hyo ibadishwe kwa kuwa dini ya kiislam inataka hvyo?
 
Kwa hiyo unataka kusema Saudi Arabia hawafuati uislamu? Achaga ukapuku
Wakati Lile jiwe kuu jeusi lipo huko wanatoka dunia nzima kwenda kulizunguka na Waafrika hukanyagana makusudi wakiamini kuwa wakifia huko ni mbinguni Moja kwa Moja. Ndio huko huko kuitwako kibla ambako wakisali lazima waangalie huko, wakifa huzikwa uelekeo huo huo
 
Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.

Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.

Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.

View attachment 2577735
Dini ya ajabu hii,?? Waanze na vitukiuu vyake maana naamini watoto na wajukuu walikwisha kuvuka miaka 9. Hapo anaongea kana kwamba vitoto vya kike ni vya watu wengine na haviwezi kutoka kwenye nyumba yake
 
Maelekezo ya mungu kama yale ya Mohamad kuoa aisha wa miaka 6?
Maneno ya Mungu ya uhakika hadi sasa ni Quran pekee.
Taarifa zzt nyengine zimechezewa. Zipo Disinformated Na waathirika wa vita hiyo ni pamoja na waislam wenyewe.

Hakuna maelezo kama hayo ndani ya quran.

zama zetu kundi moja kuchukia kundi mengine kwa sababu ya uongo wa kutengenezea disimformation
 
Hahaha... Unaikana Sahih Al-Bukhari?

Leo hii unasema Sahih Al Bukhar imeechezewa? Hahaha

Imechezewa kisa tu inaongea mambo yanayotia aibu?

Hizo hadithi ni vitabu vyenu wenyewe na mmeandika wenyewe waislam.

Na ni vizuri wewe mwenyewe unaona aibu kwa vitu vya aibu ambavyo mtume wako alivifanya.
 
Huyu tutamfunga tena,kwa kosa la Ubakaji[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom